Nimeshamkinai huyu...

Nimeshamkinai huyu...

Holla! Hope mko poa

Twende straight kwenye mada. Mwenzenu nina tatizo kubwa naona nisipo tafuta muafaka naweza kuishia kua alone maisha yangu yote.

Ipo hivi yani mwanaume nampenda/ kumtamani kabla sijalala nae. Naweza kuhisi yeye ndo mwanaume bora kuliko wote, sexy etc. Once tukilala everything changes namuona mlugaluga, mshamba tu hastahili kua na mimi. Ntaanza kumfanyia visa, kila mda kisirani. Yani hata akikaa karibu yangu nikiskia tu anavyopumua naona kero. Basi hili litaendelea mpaka atachoka na kuniacha.

Kuna watu wanasema mwanamke baada ya kulala na mwanaume ndo anafall inlove vibaya mno lkn kwangu ni completely the opposite.

Inshort kitu nikiwanacho mimi nakiona hakina thamani.

What should I do? Nifanye nini maana this guy naona anaeleweka ila nafsi yangu imekua nyeusi .Help out a sistah. Kama huna jambo zuri la kunishauri pitisha nanihii zako kimya kimya

Ujakutana na wanaume wa maana, na kuhakikishia ungekutana na mwanamme kama mimi enzi zangu, usingelala bila kunisikia, angalia taregeted Market yako.
 
Nikiwaambia siku hizi wanawake nao wana "hit and run" hua mnanibishia.
 
Holla! Hope mko poa

Twende straight kwenye mada. Mwenzenu nina tatizo kubwa naona nisipo tafuta muafaka naweza kuishia kua alone maisha yangu yote.

Ipo hivi yani mwanaume nampenda/ kumtamani kabla sijalala nae. Naweza kuhisi yeye ndo mwanaume bora kuliko wote, sexy etc. Once tukilala everything changes namuona mlugaluga, mshamba tu hastahili kua na mimi. Ntaanza kumfanyia visa, kila mda kisirani. Yani hata akikaa karibu yangu nikiskia tu anavyopumua naona kero. Basi hili litaendelea mpaka atachoka na kuniacha.

Kuna watu wanasema mwanamke baada ya kulala na mwanaume ndo anafall inlove vibaya mno lkn kwangu ni completely the opposite.

Inshort kitu nikiwanacho mimi nakiona hakina thamani.

What should I do? Nifanye nini maana this guy naona anaeleweka ila nafsi yangu imekua nyeusi .Help out a sistah. Kama huna jambo zuri la kunishauri pitisha nanihii zako kimya kimya
Karibu nikusaidie kuvunja hiyo roho ya kutumikishwa kingono na kukataliwa pia hilo agano la ndoa uliloingia na Jini mahaba bila kujua.
Utakuwa huru.

Sent from my SM-G970U using JamiiForums mobile app
 
Holla! Hope mko poa

Twende straight kwenye mada. Mwenzenu nina tatizo kubwa naona nisipo tafuta muafaka naweza kuishia kua alone maisha yangu yote.

Ipo hivi yani mwanaume nampenda/ kumtamani kabla sijalala nae. Naweza kuhisi yeye ndo mwanaume bora kuliko wote, sexy etc. Once tukilala everything changes namuona mlugaluga, mshamba tu hastahili kua na mimi. Ntaanza kumfanyia visa, kila mda kisirani. Yani hata akikaa karibu yangu nikiskia tu anavyopumua naona kero. Basi hili litaendelea mpaka atachoka na kuniacha.

Kuna watu wanasema mwanamke baada ya kulala na mwanaume ndo anafall inlove vibaya mno lkn kwangu ni completely the opposite.

Inshort kitu nikiwanacho mimi nakiona hakina thamani.

What should I do? Nifanye nini maana this guy naona anaeleweka ila nafsi yangu imekua nyeusi .Help out a sistah. Kama huna jambo zuri la kunishauri pitisha nanihii zako kimya kimya
Ewe Mungu wa isaka,hebu mtoe jini mahaba Binti huyu na mshike kalio lake ili shehetwani asipite kwa pale chooni,hebu mpe wepesi Allah aweze kuwa na maisha rahisi bila chuki.
 
Labda umewahi experience rejection..hasa utotoni..
Wale uliokuwa unawahusudu walikupa painful rejection ..kiasi kwamba mtu akikubali unajikuta unam doubt kama ana belong 'class unaoitaka...
Unajikuta Una concentrate na Ku prove 'sio yeye'..kuliko Ku appreciate ..

Dawa ni kui improve wewe mwenyewe hadi
Uanze jipenda ..
Au upate mtu awe anakukumbusha kuthamini
Ulivyo navyo na kuthamini everything around you..
Hii point ya msingi sana hii.
 
Nilipataga kidemu chenye tabia kama hizo….nikawa naweka lakini sikipi attention hata kidogo….kikaja fall mazima…sema kikawa na insecurities za ajabu nikakiacha
 
Holla! Hope mko poa

Twende straight kwenye mada. Mwenzenu nina tatizo kubwa naona nisipo tafuta muafaka naweza kuishia kua alone maisha yangu yote.

Ipo hivi yani mwanaume nampenda/ kumtamani kabla sijalala nae. Naweza kuhisi yeye ndo mwanaume bora kuliko wote, sexy etc. Once tukilala everything changes namuona mlugaluga, mshamba tu hastahili kua na mimi. Ntaanza kumfanyia visa, kila mda kisirani. Yani hata akikaa karibu yangu nikiskia tu anavyopumua naona kero. Basi hili litaendelea mpaka atachoka na kuniacha.

Kuna watu wanasema mwanamke baada ya kulala na mwanaume ndo anafall inlove vibaya mno lkn kwangu ni completely the opposite.

Inshort kitu nikiwanacho mimi nakiona hakina thamani.

What should I do? Nifanye nini maana this guy naona anaeleweka ila nafsi yangu imekua nyeusi .Help out a sistah. Kama huna jambo zuri la kunishauri pitisha nanihii zako kimya kimya
Manifestation ya pepo la ngono
 
Ni kama pepo..
Duh upo tofauti sasa si uta na wengi sana?
 
Umalaya tu
 
Back
Top Bottom