Tuttyfruity
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 2,414
- 6,394
Holla! Hope mko poa
Twende straight kwenye mada. Mwenzenu nina tatizo kubwa naona nisipo tafuta muafaka naweza kuishia kua alone maisha yangu yote.
Ipo hivi yani mwanaume nampenda/ kumtamani kabla sijalala nae. Naweza kuhisi yeye ndo mwanaume bora kuliko wote, sexy etc. Once tukilala everything changes namuona mlugaluga, mshamba tu hastahili kua na mimi. Ntaanza kumfanyia visa, kila mda kisirani. Yani hata akikaa karibu yangu nikiskia tu anavyopumua naona kero. Basi hili litaendelea mpaka atachoka na kuniacha.
Kuna watu wanasema mwanamke baada ya kulala na mwanaume ndo anafall inlove vibaya mno lkn kwangu ni completely the opposite.
Inshort kitu nikiwanacho mimi nakiona hakina thamani.
What should I do? Nifanye nini maana this guy naona anaeleweka ila nafsi yangu imekua nyeusi .Help out a sistah. Kama huna jambo zuri la kunishauri pitisha nanihii zako kimya kimya