Nimeshamkinai huyu...

Nimeshamkinai huyu...

Ha ha pole kwanza kuna matatu one labda umelogwa niamini pili labda ww ulishapenda mtu kabla na hutaki kukubali kuwa ulimpenda unaficha hisia zako na tatu labda wanaume wako hawajawahi kukufikisha kileleni yan hujajua utamu wa mapenzi km utaitaji maelezo zaid ni pm nitakufundisha vzr
 
This makes sense... I guess na self esteem inachangia.. nikiwa na kitu chenye thamani au kizurije nakiona ovyo tu. How to solve it?
Labda umewahi experience rejection..hasa utotoni..
Wale uliokuwa unawahusudu walikupa painful rejection ..kiasi kwamba mtu akikubali unajikuta unam doubt kama ana belong 'class unaoitaka...
Unajikuta Una concentrate na Ku prove 'sio yeye'..kuliko Ku appreciate ..

Dawa ni kui improve wewe mwenyewe hadi
Uanze jipenda ..
Au upate mtu awe anakukumbusha kuthamini
Ulivyo navyo na kuthamini everything around you..
 
Holla! Hope mko poa

Twende straight kwenye mada. Mwenzenu nina tatizo kubwa naona nisipo tafuta muafaka naweza kuishia kua alone maisha yangu yote.

Ipo hivi yani mwanaume nampenda/ kumtamani kabla sijalala nae. Naweza kuhisi yeye ndo mwanaume bora kuliko wote, sexy etc. Once tukilala everything changes namuona mlugaluga, mshamba tu hastahili kua na mimi. Ntaanza kumfanyia visa, kila mda kisirani. Yani hata akikaa karibu yangu nikiskia tu anavyopumua naona kero. Basi hili litaendelea mpaka atachoka na kuniacha.

Kuna watu wanasema mwanamke baada ya kulala na mwanaume ndo anafall inlove vibaya mno lkn kwangu ni completely the opposite.

Inshort kitu nikiwanacho mimi nakiona hakina thamani.

What should I do? Nifanye nini maana this guy naona anaeleweka ila nafsi yangu imekua nyeusi .Help out a sistah. Kama huna jambo zuri la kunishauri pitisha nanihii zako kimya kimya
Weka mawasiliano yake, kwa sifa zake hizo amevuka viwango vinavyoshindaniwa hivyo atapata mwanamke mwenye kumfaa kisha wewe umwite huyo mwanamke wifi!
 
Holla! Hope mko poa

Twende straight kwenye mada. Mwenzenu nina tatizo kubwa naona nisipo tafuta muafaka naweza kuishia kua alone maisha yangu yote.

Ipo hivi yani mwanaume nampenda/ kumtamani kabla sijalala nae. Naweza kuhisi yeye ndo mwanaume bora kuliko wote, sexy etc. Once tukilala everything changes namuona mlugaluga, mshamba tu hastahili kua na mimi. Ntaanza kumfanyia visa, kila mda kisirani. Yani hata akikaa karibu yangu nikiskia tu anavyopumua naona kero. Basi hili litaendelea mpaka atachoka na kuniacha.

Kuna watu wanasema mwanamke baada ya kulala na mwanaume ndo anafall inlove vibaya mno lkn kwangu ni completely the opposite.

Inshort kitu nikiwanacho mimi nakiona hakina thamani.

What should I do? Nifanye nini maana this guy naona anaeleweka ila nafsi yangu imekua nyeusi .Help out a sistah. Kama huna jambo zuri la kunishauri pitisha nanihii zako kimya kimya

The revolving nature of Karma is at its best with you, now enjoy the manifestation of it, face it, live it and keep enjoying it. Mbu warning who not to spark you out!!?
 
Either;
1:effects za kujichua
2:madhanio kama vile uyaonavo kwenye tamthilia
3:uliwahipenda ukatendwa
4: una mdudu.sasa kama huyu unaye hesabu maumivu tena maumivu hasaaa
 
Holla! Hope mko poa

Twende straight kwenye mada. Mwenzenu nina tatizo kubwa naona nisipo tafuta muafaka naweza kuishia kua alone maisha yangu yote.

Ipo hivi yani mwanaume nampenda/ kumtamani kabla sijalala nae. Naweza kuhisi yeye ndo mwanaume bora kuliko wote, sexy etc. Once tukilala everything changes namuona mlugaluga, mshamba tu hastahili kua na mimi. Ntaanza kumfanyia visa, kila mda kisirani. Yani hata akikaa karibu yangu nikiskia tu anavyopumua naona kero. Basi hili litaendelea mpaka atachoka na kuniacha.

Kuna watu wanasema mwanamke baada ya kulala na mwanaume ndo anafall inlove vibaya mno lkn kwangu ni completely the opposite.

Inshort kitu nikiwanacho mimi nakiona hakina thamani.

What should I do? Nifanye nini maana this guy naona anaeleweka ila nafsi yangu imekua nyeusi .Help out a sistah. Kama huna jambo zuri la kunishauri pitisha nanihii zako kimya kimya

Wenzio wenye hali kama hiyo wako conner bar pale ambiance na maeneo mengine. Hawana feeling kabisa baada ya kunyanduliwa wanatafuta mwingine.
 
Utakinai.wangapi...kama sio.ushapatwa na.pepo.la.ngono.linakuandama...ila kafanyiwe maombi...yanaisha hayo
 
Wenzio wenye hali kama hiyo wako conner bar pale ambiance na maeneo mengine. Hawana feeling kabisa baada ya kunyanduliwa wanatafuta mwingine.
Wamehamia tabata magengeni siku hizi...
Kauli yao kuu chumba kipo[emoji1787][emoji1787]
 
Holla! Hope mko poa

Twende straight kwenye mada. Mwenzenu nina tatizo kubwa naona nisipo tafuta muafaka naweza kuishia kua alone maisha yangu yote.

Ipo hivi yani mwanaume nampenda/ kumtamani kabla sijalala nae. Naweza kuhisi yeye ndo mwanaume bora kuliko wote, sexy etc. Once tukilala everything changes namuona mlugaluga, mshamba tu hastahili kua na mimi. Ntaanza kumfanyia visa, kila mda kisirani. Yani hata akikaa karibu yangu nikiskia tu anavyopumua naona kero. Basi hili litaendelea mpaka atachoka na kuniacha.

Kuna watu wanasema mwanamke baada ya kulala na mwanaume ndo anafall inlove vibaya mno lkn kwangu ni completely the opposite.

Inshort kitu nikiwanacho mimi nakiona hakina thamani.

What should I do? Nifanye nini maana this guy naona anaeleweka ila nafsi yangu imekua nyeusi .Help out a sistah. Kama huna jambo zuri la kunishauri pitisha nanihii zako kimya kimya
Nipitishe nanii gani mkuu?
 
Sio Ungeacha Umalaya Kwanza Binti? Maana Ni Malaya Pekee Ndiye Anatabia Kama Hzo.
 
Du kwa maana hiyo hata yule uliyesema yupo busy na wanaume wenzake uenda nao ni uongo.
 
Come 30, utarudi tu kwenye mstari..!!
 
Back
Top Bottom