Nimeshakata tamaa ya maisha nimepanga kujiua ( mawazo yangu ni kujiua 100%)

Kama kifo hakijafika hakijafika tu unaweza mkimbilia simba akuue simba akakukimbia akidhani we ndiyo simba
Mkuu jipe moyo kila mtu akikieleza mapito yake hutaamini
Hii ndo dunia na tunakoenda hatujui
 
Mkuu namuonea huruma sana huyo baba yako mdogo utakapojiuwa. Kaka yake alimzika, kakuelea wewe toka utotoni sasa umefikia hatua ya kusaidiana naye hata kimawazo wewe unataka kujiuwa. Mkuu pole sana ila jitafakari tena maamuzi yako.
 
Barua yenyewe haina mhuri.
 
'Wanaume tumeumbwa mateso kuhangaika'. Haya ndo madhara ya kutosikiliza nyimbo kama hizi badala yake mnasikiliza tu nyimbo zisizo na maana yoyote kama 'Nyegezi'

Hivi, mwanaume mzima badala ya kwenda mtaani kutafuta hata vibarua ili upate hela ya kula unajifungia ndani na kulialia eti hujala siku mbili?

Hatahivyo, wanaopanga kujiua hawatangazi hata siku moja, wewe unapima tu upepo.
 
Mistake kubwa katika hii game .

Mtaishia kuisingizia tu daily
 
Angalia vizuri kule chini sema nimefuta jina la kijiji pia umefutikafutika kwa sababu ya kukaa sana maana tangu 2013
All in all sifa ya mwanaume ni kupambana na sio kulialia namna hii, unadhani wewe ndo yatima pekee katika hii dunia? Unadhani ni wewe pekee usiye na ajira Tanzania? Uza simu yako urudi kijijini kwenu ukalime ili upate walau chakula
 
Pole mdogo wangu, ujafa ujaumbika, chukuwa hiyo mia sita kula mandazi na chai ya rangi alafu nenda kwa mama ntikie muombe uoshe vyombo au kuchota maji jioni akupe chakula

Kukikucha fanya hivyo tena

Wakati huo tafuta mteja wa hiyo smart phone uza utakosa laki moja hata ikiwa chini ya hapo inatosha, chukua maji katoni tatu tembeza barabarani

Usijiuwe ujui uendako, uhai ni zawadi

Kuna watu wana matatizo makubwa kuliko wewe

Fikiri habari ya mtu aliyepo ocean road ICU anavyolia kupigania uhai wake
Kuna watu wanapambania uhai, kuna watu wanasali vibaya sana mida hii wakimsihi Mungu asiwaondolee uhai

Mdongo wangu hata giza liwe nene vipi nataka nikuhakikishie Lazima KUPAMBAZUKE
Vumilia kidogo tu, mbona unaweza
Mbona wewe ni SOJER
MBONA wewe ni kidume hiyo njaa unakubali ikunyime uhai????

Masojer hawapo hivyo, Inuka, unapita hapo ili uwe imara zaidi, kesho wengine wajifunze kwako, una kitu cha kuwaambia watoto na vizazi vijavyo

It is possible

Tafuta kanisa lolote upate pia usaidizi wa kiroho waganga hawawezi kukusaidia
I love u mdogo wangu, nasubiri ushuhuda wako wa namna utakavyotoboa

Cheers ur sister
Lady of Desting1
 
Naina unatafuta kantaji uongeze kwenye forex maana huko ukiwa na mtaji mkubwa ndio unafanya biashara
 
NImefuatilia kwa makini sana, ina elekea Jana tarehe 13/08/2019 umepigwa sana Forex, pole sana mkuu kujiua sio suluhisho la matatizo kumbuka baba ako mdogo alikulelea naye sasa anategemea nguvu zako. Think twice, unawaachaje wanaobaki, kamwe usikate tamaa, no matter how hardship your are going through never give up. And there is no difference between gambling and forex, thats why you are advised always to trade with money you can afford to lose!
 
Hapo ndipo ulikosea!

Mganga wa Kweli ni YESU KRISTO WA NAZARETH

ASIYEHITAJI HATA CENT YAKO
 
Pole. Naelewa jinsi unavyojisikia. Nakuomba usali kwanza umuombe Mungu akupe amani, ujione wa tofauti na uhakikishe una neno lolote la Mungu ndani yako yaani ujue neno lolote la Mungu alilolisema.
Sasa utamuomba Mungu chochote utakacho naye atakupa.
Naomba uamini na uwe na hiyo imani.
 
anaetaka kujiua ameandika uzi


Hhhhhhhhh

Bro
acha utani na maisha
Ikiwa ww ni Mwanaume,pambana
Tokea zamani
Mwanaume yake ni mateso
 
Ni kuwa nyie vijana wakati mwingine hamuaminiki. Sijui hata niseme nini, uko mkoa gani kwani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…