Nimeshajua mwisho wake

Tetra

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
1,520
764
Mtoto wa miaka 6 alikuwa anapenda sana hadithi,,Bibi yake alilitambua hilo,usiku mmoja alimwita huyo mtoto amsimulie hadithi,,bibi kaanza BIBI: Hapo zamani za kale..
MTOTO:Mmmm!
BIBI: Sungura na fisi walikuwa..
MTOTO:(AKADAKIA) aaa! Bibi hiyo nimeshajua mwisho wake,Lazima sungura atamzidi ujanja fisi,,nisimulie nyingine ila sio ya sungura
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom