NimeshaHesabiwa Sensa wewe Je ?

Davie S.M

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
748
228
IMG-20120826-00119.jpg Bwana Sensa akiandaa Nondo zake za Madodoso
 
kama una ndugu Tz atakutaja! Ila uwe unawajali maana kuna swali linauliza kama huwa wanapokea msaada wowote kutoka kwa ndugu wa nje
kama ninao 30 na wote nawajali si wote watanitaja? au kuna kipengele cha jina ili baadae waunganishe? maana itaweza tokea MziziMkavu kahesabiwa mara 20
 
Last edited by a moderator:
kama ninao 30 na wote nawajali si wote watanitaja? au kuna kipengele cha jina ili baadae waunganishe? maana itaweza tokea MziziMkavu kahesabiwa mara 20

Mm pia nimeshahesabiwa! Swali mojawapo unaulizwa kama kuna mwanafamilia alieko nje ya nchi so watakaojibu ni pale ambapo ulikua una permanent residence sio kila ndugu!
 
Last edited by a moderator:
Huyu kijana muelewa sana,alipita hapa mida ya saa 6 hivi mchana nikamwambia mimi sihesabiwi akaniomba maji ya kunywa nikamsitiri akaendelea na safari zake!Wala haihitaji nguvu ukiwaambia wanakuelewa vizuri tu.
 
Mm pia nimeshahesabiwa! Swali mojawapo unaulizwa kama kuna mwanafamilia alieko nje ya nchi so watakaojibu ni pale ambapo ulikua una permanent residence sio kila ndugu!

Nashukuru kwa kumuelewesha, ndo hivyo hivyo... Mfano kama mimi nipo nje ya nchi na nikirudi huwa permanent place ni nyumbani basi siku ya sensa Baba au mama ndo watanitaja kuwa nipo Nje ya nchi then nitahesabiwa.. Ni vigumu shangazi yako kukutaja wakati haupo kwenye kaya yake
 
Mi hawajanihesabu na sihesabiwi tema nama washanikata stim

Huyu kijana muelewa sana,alipita hapa mida ya saa 6 hivi mchana nikamwambia mimi sihesabiwi akaniomba maji ya kunywa nikamsitiri akaendelea na safari zake!Wala haihitaji nguvu ukiwaambia wanakuelewa vizuri tu.

Sina nia ya kuwatisha ila ninaushauri Kwenu.. Zoezi la SENSA linaambatana na Zoezi la Uandikishaji wa Vitambulisho vya Taifa na NIDA wamewaomba Makarani wa Sensa kufanya hivyo.... Sasa hebu fikiria Mara mbili mbili

You can take it or not
 
aiseeee babaangu kadi ya kuzaliwa ni kitambulisho tosha cha uraia
 
dah! umenikumbusha aliyekuja kunihesabu alikuwa mdada mzuuuuuuuuri ana kale kaugojwa kangu ka kupenda wadada wenye troli...tulipiga story nae hadi akasahau amekuja kufanya nini na baadae kama kawa akaacha number ya simu na jioni yake kama kawa cet garden tunakula vyuku mida ya saa tatu usiku.....dah kila siku wawe wanakuja kuhesabu wa hivi hivi tu tena sensa kila baada ya miezi miwili
 
Kwani kuna mtu ambaye alipiga mkwara watu wasihesabiwe nyumbani kwake? Maana itakuwa kali kuliko zote...atafungwa peke yake,teh teh teh! Na baada ya sensa, what is next?
 
Sina nia ya kuwatisha ila ninaushauri Kwenu.. Zoezi la SENSA linaambatana na Zoezi la Uandikishaji wa Vitambulisho vya Taifa na NIDA wamewaomba Makarani wa Sensa kufanya hivyo.... Sasa hebu fikiria Mara mbili mbili

You can take it or not

Acha uongo wewe,Vitambulisho nilishajiandikisha siku nyingi!Na hata kama nikikosa hicho kitambulisho sioni nitakachopungukiwa maana navumilia kuwa mTanzania wala sijivunii Utanzania.
 
Back
Top Bottom