Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,357
- 62,598
Ebu chukua nondo za milimita 6, vikatekate viwe vipande vidogo, chukua
flat bar uikate kwa kipimo maalumu.
Chukua vile vipande vidogo vidogo vya nondo vichomelee kwenye flat bar.
Hicho ulichokitengeneza, kiweke kwenye mpini; hapo tayari utakuwa umetengeneza reki.
Kwa kifupi, utakuwa na kiwanda cha kutengeneza reki na wewe utakuwa Real CEO (aliye jiajiri).