Nimesahau wallet

Wasichana wengi ni kama wanajiuza,ni ngumu kuwatofautisha na makahaba wale wa viwanja namna 'mtazamo' wao kuhusu pesa ya mwanamme unavyofanana


iliandikwa mwanaume atakula kwa jasho lake mwenyewe ila huyu alitaka alishwe
 
Kumbe skuhz sio lazma uende buguruni, hata hapa jf
 
huu mwaka lazima mbadirike,jitumeni kaka zangu la sivyo mtaambulia machoni tu

tena siku hizi mmekuwa omba omba sana,omba omba wengi mjini sikuizi ni wakiume hii yote ni sababu ya uvivu na kukimbia umande

Punguza ukali wa naneno aisee, yani mwanaume omba omba?
 

Aisee hii dose yako mmh kiboko... Wamwagiwe tkl?
 
kwan walet ndo kigegedulio?.....raha na walet ndo kutofikishana huko coz mie nakukomesha najitosheleza mwenewe coz i pay for it na ww mijicho kodo kwene walet unaishia kuota misugu tuu
 
Dawa yenu ndogo nyie wauza sura mnajifanya kujirengesha kwa wake zetu. Ukiingia anga zangu nakupa mtego lazima unase kisha nikumalize mimi mwenyewe taraatibuu.

Hahahahaha Ritz una mikwara.
 
Last edited by a moderator:
Dawa yenu ndogo nyie wauza sura mnajifanya kujirengesha kwa wake zetu. Ukiingia anga zangu nakupa mtego lazima unase kisha nikumalize mimi mwenyewe taraatibuu.

unajua we mtu mzima na nakujua na kukuheshimu hebu ondoka hapa tuache vijana
utanifanya nn km mbunye ya malaya inakushinda bao moko tu unalala utaweza kipenyo chenye makatamavi ya ukweli tutawabebea wake.zenu mpk ukome umesoma kitabu cha MABEPARI WA BONGO? kuna mama mke wa waziri alifichua mengi yenu
 
we jerrymsigwa acha maneno mengi mesage sent ,mjirekebishe fanya kazi kwa bidii acha longolongo,we kwani una sh ngapi?
 
Wewe ndio unayataka mwenyewe, umesema sio mara moja kafanya hivyo. Ina maana ulizoe hii hali na wewe ndio chanzo maana ungeweza kumwambia mmuifate.

Kinyume na hapo umekaa kimya siku zote hizo na mwenzio alikugeuza chuma ulete.
 


Lazima wewe utakuwa ni miongoni mwa wale wanawake wa hapa jijini wanaoendesha maisha kwa kuuza ile sehemu yao ya mwili iliyochoka kwa kuwa over used.
Pole sana!!!
 

kumbe hua unauza papucha aka k..u...m...a.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…