jamani saa sita usiku wakala gani anakuwa yupo wazi?
yeye anasema kuwa ameona ameshaitoa, kaonaje wakati hana uwezo wa kuona kama imetolewa?
kwanini tudanganyane?
Hapo mpaka siku akiweja ela wataizuia.Abari wadau ? Naombeni ushauri nimetuma m pesa namba isiyo sahihi kuhamaki jamaa kashaitoa nawapigia voda wanasema hawana namna kashaitoa pesa kwaiyo hawawezi nisaidia, naombeni ushauri wadau ni 350,000
Kumbe siku hizi ndivyo ilivyo?ETI SIKU HIZI VODACOM HAWAFUNGII LAINI YA MTU ALIYEPOKEA HELA YA MTU MWINGINE KIMAKOSA HALAFU AKAITOA ETI WANAKUAMBIA UWASILIANE NAYE HUYO MTU KWAMBA HAWAWEZI KUFUNGA AKAUBTI YA MTU BILA IDHINI YAKE.
POLE NDUGU ILA HELA NDO IMEENDA NA USAWA HUU HUYO ANAWEZA HATA AKABDILISHA SIMU
Atakua alilia lia sana hivyo kuharibu hiyo strategy ya u_masonJifanye Freemason....mwambie tumekuchagua wewe uwe mmoja wetu....na ujiandae kutoa kafala tutakayohiitaji mwisho wa mwaka huu.....bila Shaka atakurudishia na ya kutolea juu....
Patia picha inatokea ya kukutokea kama huyu mdau hapa, alafu njia hiyo ndo ivyo hawaitumii,Kumbe siku hizi ndivyo ilivyo?
Ila inaleta logic maana kulikuwa na mtindo unafanya biashara na mtu anakutumia ela unampa mzigo mkiachana anapga sim anawambia kakosea kutuma ela wanafunga line ya mtu na wanamrudshia
Hapo ndipo utata ulipo mkuuPatia picha inatokea ya kukutokea kama huyu mdau hapa, alafu njia hiyo ndo ivyo hawaitumii,
Ilikua inasave licha ya faida yake ndo ivyo wahuni wakawa wanaitumia vibaya
unajiuliza maswali gani sasa?Kuna siku nlitumiwa Laki moja na mtu nisiemjua afuu nlikuwa nina hali mbaya Kishenzi...! Sikuitoa ilee helaa lakini baadae nlikuja kushangaa Ilee hela ilirudishwa afu Jina la mtu aliekosea Lilikuwa la Ndugu yangu mtoto wa ba mkubwa.. Sikuwahi mtafuta ila mpaka kesho huwa najiuliza maswali mengi sana.. polee sana kijana sometimes ukute hata Huyo jamaa hiyo helaa hajaitoa ebu jaribu kumtafutaa uone inakuwaje... Maana voda nao janja janja sanaa....
Yani wewe ndo lodilofa kabisa posti kuandikwa saa sita sio kigezo kwamba katuma huo mda em kuwa na akili ya ziadajamani saa sita usiku wakala gani anakuwa yupo wazi?
yeye anasema kuwa ameona ameshaitoa, kaonaje wakati hana uwezo wa kuona kama imetolewa?
kwanini tudanganyane?
Nikupambana na hali tuu ya kutokukosea, ni kuwa makini zaidi utumapo basi!!Hapo ndipo utata ulipo mkuu
Akisema ongezaJifanye Freemason....mwambie tumekuchagua wewe uwe mmoja wetu....na ujiandae kutoa kafala tutakayohiitaji mwisho wa mwaka huu.....bila Shaka atakurudishia na ya kutolea juu....
Ndugu ,hukuona jina kabla ya kutumia,pole sana.Abari wadau ? Naombeni ushauri nimetuma m pesa namba isiyo sahihi kuhamaki jamaa kashaitoa nawapigia voda wanasema hawana namna kashaitoa pesa kwaiyo hawawezi nisaidia, naombeni ushauri wadau ni 350,000
Hakuna jinsiAbari wadau ? Naombeni ushauri nimetuma m pesa namba isiyo sahihi kuhamaki jamaa kashaitoa nawapigia voda wanasema hawana namna kashaitoa pesa kwaiyo hawawezi nisaidia, naombeni ushauri wadau ni 350,000