uyo kawah kuitoa ivyo atakuwa wa mjini tuJifanye Freemason....mwambie tumekuchagua wewe uwe mmoja wetu....na ujiandae kutoa kafala tutakayohiitaji mwisho wa mwaka huu.....bila Shaka atakurudishia na ya kutolea juu....

Kwani kasema ameituma usiku huo kabla hajaandika huu uzi??jamani saa sita usiku wakala gani anakuwa yupo wazi?
yeye anasema kuwa ameona ameshaitoa, kaonaje wakati hana uwezo wa kuona kama imetolewa?
kwanini tudanganyane?
Kama aliliona basi anastahili kuikosa hiyo pesa.Ndugu ,hukuona jina kabla ya kutumia,pole sana.
Mkuu, kwangu ilitumwa kiasi kidogo cha chini ya hiyo. Pia nilitumiwa kupitia NMB na sio m-pesa
Nenda kwenye ofic zao hawezi kuchukua pesa ambayo sio yake lazima arudishe au mpigie huyo uliye mtumia hakuna wizi wa namna hiyo ndio maana namba zote zimesajiliwa. Mpigie kwanza uliye mwekea hizo pesa akikusumbua nenda poliveAbari wadau ? Naombeni ushauri nimetuma m pesa namba isiyo sahihi kuhamaki jamaa kashaitoa nawapigia voda wanasema hawana namna kashaitoa pesa kwaiyo hawawezi nisaidia, naombeni ushauri wadau ni 350,000