baiser
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 1,487
- 2,263
- Thread starter
- #41
Mrembo acha hizo mwanaume kutongoza i kawaida huwez ona mdada mzur ukavungaSifa ziende kwa hiyo mdada mana ni mjanja sana na itakuwa alishajua ndio tabia yako kuomba omba namba hovyo. Na sidhani kama hakuwa na salio.
Ila endelea kusubiri mkuu huenda akakupigia
Sent using Jamii Forums mobile app