Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,090
- 35,318
Nishakosa zali tena![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimeshaitaja umechelewa swahiba. Ulikuwa wapi muda wote sasaaa.
Nishakosa zali tena![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimeshaitaja umechelewa swahiba. Ulikuwa wapi muda wote sasaaa.
Nishakosa zali tena!
[emoji21]Kweli kabisa. Pole sana swahiba.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio umenuna [emoji12]. Baadae nitaitaja tena usijali uwe karibu karibu sasa swahiba.[emoji21]
Nishavuta mkeka hapa nasubiriaNdio umenuna [emoji12]. Baadae nitaitaja tena usijali uwe karibu karibu sasa swahiba.
Weka na kamto pembeni swahiba mana unaweza shikwa na usingizi wakati ukiwa unasubiria namba.Nishavuta mkeka hapa nasubiria
Kila msichana unayekutana naye unachukua au unatoa namba je, unataka kuanzisha shule ya wasichana!??
[emoji23] [emoji23]We na kamto pembeni swahiba mana unaweza shikwa na usingizi wakati ukiwa unasubiria namba.
[emoji85] [emoji85]
ndo nasubiri emmyta please,haya nitajie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nakutajia andika.
Sizan kama haya ndo mafundisho ya yesumkuu siku nyingine usirudie kumpa namba mwanamke hua wanakaa kimya tu, ila wewe ndo inatakiwa uichukue ya kwake tena ujibipu kabisa.
Yesu anaponya
Wapo wengi sio Huyo tu.Huyo ni Yesu wa vichakani.
Kakijana kanaweka "Yesu Anaponya" halafu kanatoa mafundisho ya kumuua Yesu tena msalabani!!