Nimerudi

...tatizo sio uwoga mkuu huwezi kutulazimisha tufukue tope akati imekatazwa katika vitabu vya dini
we endelea kutuita hivyo hivyo waoga
Hahahah haha ha ha haaaa hahaaaa
 
Yaani Tangu tulivyo kuambia kuwa umejamba ndio Umeamua kutuchukia mazima !!!!!

So kama Umejamba Tusikuambie..?!!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaume nibora tuendelee kuonekana waoga, kuliko tuonekane majasiri kwakigezo chakutapua mitaroo....
 
Sawa nitumie namba PM.
Bila shaka haitazidi 20,000. Au vile unalipiwa ndiyo utafanya mkomoeni?
Hahhaha ikizidi 20k labda nimeupgrade juice to fermented beverages[emoji23][emoji23]....nishakutumia digits..
 
Hahhaha ikizidi 20k labda nimeupgrade juice to fermented beverages[emoji23][emoji23]....nishakutumia digits..
Done..
Enjoy your meal..!

6DI028J0EHA Imethibitishwa. Tsh22,000.00 imetumwa kwa TTCL PESA kwenye akaunti namba 2557xxxxx tarehe 20/6/19 saa 13:56PM. salio lako la M-Pesa ni Tsh10,167.00.
 
kritika Hii hatari sana kwako kutaja asilimia kubwa hivyo kuwa waoga
 
Done..
Enjoy your meal..!

6DI028J0EHA Imethibitishwa. Tsh22,000.00 imetumwa kwa TTCL PESA kwenye akaunti namba 2557xxxxx tarehe 20/6/19 saa 13:56PM. salio lako la M-Pesa ni Tsh10,167.00.
[emoji2231][emoji2231][emoji2231]
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…