Nimerudi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtoa mada ndo keshatoa msimamo wake! Labda wasubirie uzi mwingine
[emoji23][emoji23][emoji23]ndio imetoka hiyo , wanasema ikirudi ni pancha.
 
...tatizo sio uwoga mkuu huwezi kutulazimisha tufukue tope akati imekatazwa katika vitabu vya dini
we endelea kutuita hivyo hivyo waoga
Kwahiyo kufukua tope ndo kumekatazwa ila kuchepuka hakujakatazwa si eti?
 
Mwanaume ni kristo katika familia na mwanume ni kanisa,mwanamke ni ubavu wa mwanaume...endelea kutudharau siku zako zinahesabika
Mnapojifananisha na Kristo msijifananishe nafasi tu bali mjifananishe na matendo pia Kristo hajawahi kufanya ujinga kwa kanisa lake hata limkosee vipi ila wanaume mnafanya ujinga kwa wanawake
 
Daaa mim naona nirudi tu kwako...huko nitakufa kwa pressure
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Kwahiyo mimi ndio second optin eti?

Halafu ujue huyu ni mdogo wangu hivyo ni abomination.
 
Ambao sio waoga tuna komenti wapi..??
 
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Kwahiyo mimi ndio second optin eti?

Halafu ujue huyu ni mdogo wangu hivyo ni abomination.
Sidhano kama umeelewa neno "kurudi.."
 
Ulitumwa hata sasa hivi umerudi
 
Kwa nini usingeolewa na wamasai na wakulya?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…