Nimerudi,Niliwamiss, Nawapenda sana!

Blaki Womani, hivi kaka yako ni Kloro, cookie, bishanga, rejao ama nani? Manake huyu wifi yako siku hizi,mhh!

Mimi ndie kaka yake halisi SL ni wifi yake, hujambo lakini. Mkuu G karibu tena ila sidhani kama unanifahamu mimi
 
Blaki Womani, hivi kaka yako ni Kloro, cookie, bishanga, rejao ama nani? Manake huyu wifi yako siku hizi,mhh!

Wote kaka zangu ila wa tumbo ni Big Nitonye wa ukwee!!! Brada usisikilize maneno wachonganishi hao. Wifi mpendwa love u
 
Mimi ndie kaka yake halisi SL ni wifi yake, hujambo lakini. Mkuu G karibu tena ila sidhani kama unanifahamu mimi

Asante sana jembe, kwakua tayari ushampata dada yangu ujue ushanipata shemeji.
 
Sasa we unabishana na Rejao jamani?? Tena jukwaa la siasa? Ulijipunguzia marks aisee! Anyways.......wellcome back kaka!

KAPIPI nilikumic sana! I thank God kifungo kimekwisha njema!
 
karibu sana. ulivyo kuwa ukitaka kuingia walikuwa wanakuambia kwanini haifunguki? huwa wanasema kwanini huna access. mi mwenyewe nshawahi pigwa ban.
 
I am back with a BANG! This tym n jino kwa jino, tunaanzia ARUMERU MASHARIKI lazima utoe mimacho!
Naona unataka huu uzi wako upelekwe kwenye jukwaa la siasa halafu ukale ban nyingine tena.
 
Back
Top Bottom