Nimerudi,Niliwamiss, Nawapenda sana!

Gagurito you are one of the members I missed,
Nimefurahi saana kukuona, ulipotea kweli kweli....
Kari
bu saana rafiki. Tulikumiss pia.
Pamoja Saana.

AshaDii thanx so much rafiki yangu, nilikuwa jela bt nimerudi sasa na sitegemei kutoka tena. I missed you too, always u hv been kind to me, ur friendship is cherished. thanx sana!
 
Pamoja sana broda!! Alafu kuna watu uchokozi kwao sifa, so ukikutana na mtu anasugua kisigino we ruka post yake kama vile hujaiona kabisa!!

Kapipi ucwe na wacwac, nimejifunza mengi sana, tuwe makini hao watu!
 
Back
Top Bottom