Huyu Madame B mbona ananipa wasiwasi??anataka nimuombe ruhusa Katavi?? Bora nimtafute Paloma
Sasa Katavi anahusika nini tena??
Hazband wake Madame B ameenda kutoa singo ya hip pop kwa producer majani.. Kidumu chake Ben Saanane yupo yupo hata hajielewi kama limbwata limeeksipaya au laa..
Ina maana YNNAH hufahamu yote haya..?
Hazband wake Madame B ameenda kutoa singo ya hip pop kwa producer majani.. Kidumu chake Ben Saanane yupo yupo hata hajielewi kama limbwata limeeksipaya au laa..
Ina maana YNNAH hufahamu yote haya..?
Duh!! Nilikuwa siyajui hayo sosoliso