Nimerudi Naombeni Mwongozo......

Last edited by a moderator:
Msiri wangu mwaJ nimekumisije....huku wanataka watutoe ziwani watupeleke kwenye gesi...
Msiri wangu Kaizer wala usikubali kuondoka ziwani, ni bora ziwani mambo sio moto kama huko kwenye gesi. Kwenye gesi wamakonde hawaelewi kitu. Wao wanadai hata kwa bomba la peni haitoki!
 
Last edited by a moderator:
as well as ntakuwa nakutana nao kwenye vikao muhimu vya kifamilia tu siyo mbaya
acha mi niendelee kula mema ya nchi na Mr Rocky
Mamndenyi wewe ni mke sio binamu wala dada bana hapo wewe unashikilia cheo cha mwenye nyumba
Hao ni binamu na dada zangu bana
ladyfurahia nini tena aise mbona umeguna
Wewe ni dada mdogo bana
 
Last edited by a moderator:
Msiri wangu Kaizer wala usikubali kuondoka ziwani, ni bora ziwani mambo sio moto kama huko kwenye gesi. Kwenye gesi wamakonde hawaelewi kitu. Wao wanadai hata kwa bomba la peni haitoki!

Niwekee tu zile karanga najua haziwezi kuoza, nitarudi punde mwaJ
 
Last edited by a moderator:
niiiiipo !kuna libepari la mafuta moja hiv linataka liniweke ndani nitawe!sasa ndo nilikuwa kwenye negotiations!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…