Nimerudi Naombeni Mwongozo......

huna matatizo kaka yangu Erickb52 inabdi tuitishe jumuiya ije kukuombea
 
Last edited by a moderator:
una matatizo ya kisaikiolojia kaka kumbe wewe ni mnafiki mkubwa na mgombanishi sikujua kumbe hata ndugu anaweza kukuharibia ona hapa sasa Mentor
Mi nimemsifia kinafiki tu acha masifa.
Hakuna lolote
 
Last edited by a moderator:
[/QUOTE]
17/06 nataka wakuntoa out
 
Kaka humu ndani ni full kunyanyapaana, kama huna wako ulie tu......bora mimi nimemuona Husninyo nimefarijika....(sijui yule jamaa aliyem-dedicate wimbo juzi kasikia, asije akaning'oa kucha, meno na jicho......)

heheheheh, anaitwa@excellent, he is excellent kwakweli. lol, hivi katavi ni mkoa au wilaya ya wapi?
 
Last edited by a moderator:
17/06 nataka wakuntoa out[/QUOTE]

Umetoka Nivea..? Tulikumicije hapa.. (mie na Paloma)
 
Last edited by a moderator:
Kumbe yule aliyekudedicate wimbo ni Excellent....!! Huyo hana matatizo, kucha zangu zipo salama Husninyo..
 
Last edited by a moderator:

Mie sijambo kabisa, nipo mitaa hii hii.
 
huyo Erickb52 kwani hua anatafuna banzoka basi,akisha ndofyuka
hua anakula ndizi mbivu kuua sooo!!


 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…