Mmmh...!! We Mamndenyi mchonganishi unataka Mwita Maranya anicharange mapanga, kumbe mwaJ ni mali yake.......
Hebu orodhesha hapa.. mke wako.. hawala wako.. kimada wako.. mchumba wako.. poozeo lako.. na kadhalika na kadhalika.. maana lol..
Bwana Yesu asifiwe
Ha ha ha.. Ameen..
Erickb52 we hujui namna ya kunywa ndyofu unamaliza halafu unatafuna big gee kwa wingi unaua soo. Chocs hatajua wala Kipipi bana
Mamndenyi habari za kwako
Msalimie sana Dena Amsi binamu yangu na Paloma na Madame B na Passion Lady
Mwalimu wangu @gifsonwin na snowhite sijui wamepotelea wapi na mpendwa wangu wa zamani sweetlady na dada yangu ladyfurahia na dada mkubwa Blaki Womani na Preta sijui wamepotelea wapi