Nimerudi Naombeni Mwongozo......

Afu Nsuri kuja ujitambulishe kwa mwenyekiti...
 
Last edited by a moderator:
fomu zinapatikana kwangu njoo huku uchukue fomu yako ya kujiunga tena hapa CC chama tawala
 
[MENTION=4586]Dena Amsi ninefanjaje tena wewe si ni binamu yake na rafiki yake kaka yangu ndo maana ukawa binamu
Paloma nilikuambia kuna mtu huwa anaiba paswedi yangu anaandika mambo ya ajabu kama hili la Nsuri

Mamndenyi unapata presha bure akina Arushaone na Baba V hawakutakii mema wanakuzingua tuu
Madame B binamu tusisahauliane kwenye deal la hizo hela za gesi mtwara maana mahari ya Nsuri nitapokea mimi
 
Last edited by a moderator:
Sizitaki mbichi hizi, kweli dogo umechuja, nenda ka renew kizizi pande za majimoto,
Copy: Katavi
Hahahaah! Kumbe kijana kachuja namna hiyo, aje tu pande za huku a-renew...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…