Nimerudi kufanya kazi yangu ya mgambo.

Nimerudi kufanya kazi yangu ya mgambo.

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,460
Reaction score
4,167
Nina kabachelor kangu,lkn nimekula za uso utumishi,tra na gbt.
Sasa nimewahi kupitia mafunzo ya mgambo na kutunukiwa cheti.
Nimeamua nijitose tu kwenda kuwa mlinzi,kwa kuanzia leo nimepata mchongo wa kwenda kukamata wahalifu flani wanaotuhumiwa na jamii kuwa wanauza bangi na kusumbua wananchi mtaani.huu mchongo ukikamilika leo jioni sikosi ka elfu 40 kangu ka kunywea bia.
Nikivaa gwanda zangu sikosi ela za rushwa kutoka kwa mama ntilie,machinga na watu wanaokojoa hovyo mitaani.
 
Hizo 40k za ngama waenda kuzinywea bia? Hako ka bachelor kako hakajakusaidia kitu.
 
Nina kabachelor kangu,lkn nimekula za uso utumishi,tra na gbt.
Sasa nimewahi kupitia mafunzo ya mgambo na kutunukiwa cheti.
Nimeamua nijitose tu kwenda kuwa mlinzi,kwa kuanzia leo nimepata mchongo wa kwenda kukamata wahalifu flani wanaotuhumiwa na jamii kuwa wanauza bangi na kusumbua wananchi mtaani.huu mchongo ukikamilika leo jioni sikosi ka elfu 40 kangu ka kunywea bia.
Nikivaa gwanda zangu sikosi ela za rushwa kutoka kwa mama ntilie,machinga na watu wanaokojoa hovyo mitaani.
Fanya kazi kwa akili
 
Huu mchongo ukikamilika leo jioni sikosi ka elfu 40 kangu ka kunywea bia.
Nikivaa gwanda zangu sikosi ela za rushwa kutoka kwa mama ntilie,machinga na watu wanaokojoa hovyo mitaani.
Ww kweli n mtanzania, hii ndo maana halisi ya kuwa Mtanzania.

Mtanzania akipata pesa tuu anawaza anasa, akipata upenyo wa upigaji anapiga kisawasawa.

Ndo mana viongozi wetu wajinga wengi wanawaza upigaji tuu ndo mana wanafanya kila namna kuwaumiza wengine ili wabaki kwenye hizo nafasi.
 
Nina kabachelor kangu,lkn nimekula za uso utumishi,tra na gbt.
Sasa nimewahi kupitia mafunzo ya mgambo na kutunukiwa cheti.
Nimeamua nijitose tu kwenda kuwa mlinzi,kwa kuanzia leo nimepata mchongo wa kwenda kukamata wahalifu flani wanaotuhumiwa na jamii kuwa wanauza bangi na kusumbua wananchi mtaani.huu mchongo ukikamilika leo jioni sikosi ka elfu 40 kangu ka kunywea bia.
Nikivaa gwanda zangu sikosi ela za rushwa kutoka kwa mama ntilie,machinga na watu wanaokojoa hovyo mitaani.
Sema umepata biashara ya Mgambo
 
HAmlalagi
 
Ww kweli n mtanzania, hii ndo maana halisi ya kuwa Mtanzania.

Mtanzania akipata pesa tuu anawaza anasa, akipata upenyo wa upigaji anapiga kisawasawa.

Ndo mana viongozi wetu wajinga wengi wanawaza upigaji tuu ndo mana wanafanya kila namna kuwaumiza wengine ili wabaki kwenye hizo nafasi.
Pesa yoyote ambayo unaipata bila haki huwezi kuifanyia maendeleo yoyote ya maana.
 
Nina kabachelor kangu,lkn nimekula za uso utumishi,tra na gbt.
Sasa nimewahi kupitia mafunzo ya mgambo na kutunukiwa cheti.
Nimeamua nijitose tu kwenda kuwa mlinzi,kwa kuanzia leo nimepata mchongo wa kwenda kukamata wahalifu flani wanaotuhumiwa na jamii kuwa wanauza bangi na kusumbua wananchi mtaani.huu mchongo ukikamilika leo jioni sikosi ka elfu 40 kangu ka kunywea bia.
Nikivaa gwanda zangu sikosi ela za rushwa kutoka kwa mama ntilie,machinga na watu wanaokojoa hovyo mitaani.
Hongera..
 
Acha kutembea na wake za watu.
Na Mungu atakubariki na utapata kazi nzuri kwa level yako ya elimu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom