Nimerudi kufanya kazi yangu ya mgambo.

Nimerudi kufanya kazi yangu ya mgambo.

Nina kabachelor kangu,lkn nimekula za uso utumishi,tra na gbt.
Sasa nimewahi kupitia mafunzo ya mgambo na kutunukiwa cheti.
Nimeamua nijitose tu kwenda kuwa mlinzi,kwa kuanzia leo nimepata mchongo wa kwenda kukamata wahalifu flani wanaotuhumiwa na jamii kuwa wanauza bangi na kusumbua wananchi mtaani.huu mchongo ukikamilika leo jioni sikosi ka elfu 40 kangu ka kunywea bia.
Nikivaa gwanda zangu sikosi ela za rushwa kutoka kwa mama ntilie,machinga na watu wanaokojoa hovyo mitaani.
Wanakuuwa mda si mrefu
 
Acha kutembea na wake za watu.
Na Mungu atakubariki na utapata kazi nzuri kwa level yako ya elimu.
Wakati wa Mungu ndio wakati sahihi,ukifika nitapata tu,njoo unisalimie niko lindo la mwenge leo.
 
Nina kabachelor kangu,lkn nimekula za uso utumishi,tra na gbt.
Sasa nimewahi kupitia mafunzo ya mgambo na kutunukiwa cheti.
Nimeamua nijitose tu kwenda kuwa mlinzi,kwa kuanzia leo nimepata mchongo wa kwenda kukamata wahalifu flani wanaotuhumiwa na jamii kuwa wanauza bangi na kusumbua wananchi mtaani.huu mchongo ukikamilika leo jioni sikosi ka elfu 40 kangu ka kunywea bia.
Nikivaa gwanda zangu sikosi ela za rushwa kutoka kwa mama ntilie,machinga na watu wanaokojoa hovyo mitaani.
Hicho ndicho kipaji chako.Hayo mengine unacheza makidamakida tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom