Nimerudi, did you miss me...!?

Nimerudi, did you miss me...!?

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
19,479
Reaction score
9,551
Ndo nimetoka kifungoni muda huu, walinipumzisha kwa siku mbili, nimerudi tuko pamoja....

Haya nambieni yaliyojiri kunako jamvi..
 
Mbona na mie nilikuepo huko kwa masaa ... Kumbe ndio unavituko hivyoooo unapo kua sevani eeeeeh...!
 
Unapaswa kunyweshwa maji ya mto Jordani glass 7 nawe utapona, otherwise hata panya na mende wa geto kwako hawatosalimika nakuapia.
 
mwenyekiti una hitaji maombi

Ngoja nianze... Baba katika jina la.... namuombea mwenyekiti wetu Baba V pepo la ban limtoke kwa jina la ...... lishindwe na tena lilegee kunako sehemu zake, limtokeeee tokaaaaaa tokaaaaaaa wewe pepo la Ban tokaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!"""""!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Yaani wewe!
Unanichoshea mume wangu hadi ndoa yetu itadhoofu sasa. Yani uchungwe kama kuku! Kha
 
sikupatii picha aiseeh,utakuwa na alergy na jukwaa fulani bora ukapime ili kuepusha ban
 
Mbona na mie nilikuepo huko kwa masaa ... Kumbe ndio unavituko hivyoooo unapo kua sevani eeeeeh...!

Mbona sikukuona...!?? mume wa King'asti alinivuta shati...
 
Last edited by a moderator:
Mhh we baba wee. . .khaa umepata demu nini huko? Nna wasiwasi!

Mmmh... hata kama, demu mwenyewe huwezi hata kumfaidi, tu vyumba twa sevani unasimama wote hata kukaa huwezi
 
Yaani wewe!
Unanichoshea mume wangu hadi ndoa yetu itadhoofu sasa. Yani uchungwe kama kuku! Kha

Mumeo nae kazidi bana...!,hataki nipumue!!??? mwambie aniache nijipumulie.....!! hapa nimeku quote nisipojikuta servan..... !! sijui...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom