Umetoa comment ili nawe uonekane ama?Nilikuwa kama wewe pindi naingia humu. Matusi kwa sana na mizaha isiyofaa.
Ban nimekula sana. Hadi ya miezi 3 na ya miezi 6. Mpaka kuna akaunti-kimeo nilikuwa nayo ilifutwa. Ila nikaamua nitulie zangu.
Hakuna haja ya mbwembwe, tumia jukwaa kistaarabu ili wengine wasikereke. Huku JF tupo huru, hakuna haja ya kutengeneza wasifu na kutafuta kukubalika.
Soma vigezo na masharti. Wasimamizi wanaruhusiwa kuhariri na kudhibiti maudhui bila kutoa maelezo yeyote. Huhitaji akili kubwa kuelewa kwanini.
Nilitaka kushangaaUmetoa comment ili nawe uonekane ama?
Unajua the reason behind my ban?
Na kingine una fuata umati unavyo sema kunihisu au unanifaham ya kuwa mimi ni Natafuta recognition?
Ni nyie ambao huwa mnaishia watu, toxicity then nasubiri mhusika a wajibu ili report yeye apigwe ban
Dah nimeyakanyaga leo😅Umetoa comment ili nawe uonekane ama?