Mimi naona anafaa kuchukua nafasi ya JK kabisa siyo ya Ngeleja.Ile ban yangu ya miezi miwili imepotezewa na sasa nipo huru. Kwakweli siku 4 za ban zimenifanya niwe dhaifu, mnyonge na kuishiwa nguvu kabisa. Nawashukuru wale wote ambao walilia sana ili nisamehewe. Pia namshukuru Invisible kwa kuonesha utu na uungwana wa hali ya juu. Huyu jamaa anafaa kuchukua nafasi ya Ngeleja kwakweli.
Ile ban yangu ya miezi miwili imepotezewa na sasa nipo huru. Kwakweli siku 4 za ban zimenifanya niwe dhaifu, mnyonge na kuishiwa nguvu kabisa. Nawashukuru wale wote ambao walilia sana ili nisamehewe. Pia namshukuru Invisible kwa kuonesha utu na uungwana wa hali ya juu. Huyu jamaa anafaa kuchukua nafasi ya Ngeleja kwakweli.
mmmh...... noma
Mwita ur so funny hasa kuona ulijiita umbwa! Karibu tena ila behave bhana, watu wakikukera jaribu kupotezea manake ip yako ikifungiwa utanifanya na mimi niikose Jf. Be chaming and not violent! OK? Welkam
Ile ban yangu ya miezi miwili imepotezewa na sasa nipo huru. Kwakweli siku 4 za ban zimenifanya niwe dhaifu, mnyonge na kuishiwa nguvu kabisa. Nawashukuru wale wote ambao walilia sana ili nisamehewe. Pia namshukuru Invisible kwa kuonesha utu na uungwana wa hali ya juu. Huyu jamaa anafaa kuchukua nafasi ya Ngeleja kwakweli.
Ile ban yangu ya miezi miwili imepotezewa na sasa nipo huru. Kwakweli siku 4 za ban zimenifanya niwe dhaifu, mnyonge na kuishiwa nguvu kabisa. Nawashukuru wale wote ambao walilia sana ili nisamehewe. Pia namshukuru Invisible kwa kuonesha utu na uungwana wa hali ya juu. Huyu jamaa anafaa kuchukua nafasi ya Ngeleja kwakweli.
Labda majina yalikwisha katika kamusi yake akawa hana option zaidi ya kujiita Mbwa.mkuu inakuwaje unajiita mbwa???nilifikiri wewe ni bonge la intelligent kumbe ovyo
kule kwa magamba kunakufaa sana,upande wa wapiganaji tunakuona kama kenge kwenye msafara wa mamba!