Reina princess
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 1,322
- 1,503
Hivi mtu huruhusiwi kabisa kuivua pete hata kama inakuwasha?Hata me nasubir jibu lake
Hivi mtu huruhusiwi kabisa kuivua pete hata kama inakuwasha?Hata me nasubir jibu lake
Kusoma unajua kweliKama we ni ke nipm
Ukiona ivo ujue ana makandokando..... Hana la kueleza akaeleweka.. We mtu unavua pete ili ugeuze gar!! Utaekeweka na naniUnapigwa na mkeo au?!..kwan pete ikipotea kuna tatizo gani...si unampa taarifa tu,maana hauhitaji kumwrleza story ndefu pete imepotea basi hamna la zaidi
Inakuwashaga ukiwa ofisin tu au na nyumban pia?maana usijarib kutafuta sababuHivi mtu huruhusiwi kabisa kuivua pete hata kama inakuwasha?
Nokia83 kaoa lini? Hajui hata harufu ya ndoaMh!kwanza mke alishahisi jamaa anachepuka,pili pete imepotea kirahisi rahisi tuu halaf wewe unadhan ni kitu rahisi
Ndio maana yakeHivi pete ya ndoa ni kitu kikubwa kiasi hicho mpaka mtu achanganyikiwe ikipotea?
Ubabe utakuja kukutokea puani... Sio kila mtu ni wa kufanyia ubabeKwani unadhani alikuea na mwanamke ndio akapoteza?!cku hz unavaa pete na gest unaingia na mwanamke hamna anayejali
Mwanaume hutakiwi kujielezea sana kwny mambo hayo,mwanamke atakuzidi maneno tu hapo.
Lazima uwe mbabe
No ubabe lazima ujieleze vizuri tuUnapigwa na mkeo au?!..kwan pete ikipotea kuna tatizo gani...si unampa taarifa tu,maana hauhitaji kumwrleza story ndefu pete imepotea basi hamna la zaidi
Wewe unaniuz aisee.. Ungefanyaje kwa mfano. Unapiga au! Unajifanya mbabe unadhani wanawake wanafanana wote?Sasa nkikwambia pete nlivua kazini ikapotea unataka maelezo gani zaidi?!
Mpk nije na affidavit ndio uelewe?
Mumeo huwa unamuhoji sn maswali nae katulia tu?!
Unaisafisha???? Ilichafuka na nini?Mkuu pete niilivua nilikuwa naisafisha
Tatizo ww umeshafumania snUkiona ivo ujue ana makandokando..... Hana la kueleza akaeleweka.. We mtu unavua pete ili ugeuze gar!! Utaekeweka na nani
Mm nmeoa kabla ww hujavunja unguNokia83 kaoa lini? Hajui hata harufu ya ndoa
Huo sasa utumwaNdio maana yake
Me huwa naivua nikiwa nyumbani, navaa tu pale napotoka maana hua inaacha alama sana kidoleni... Ila umeivua ukiwa kazini kwa kitu gani hasa..Hivi mtu huruhusiwi kabisa kuivua pete hata kama inakuwasha?
Wanawake mkilegezewa kamba mnasahau mipaka yenuUbabe utakuja kukutokea puani... Sio kila mtu ni wa kufanyia ubabe
Kama kweli ilipotea kwa mazingira masafi wala huwez kupata kigugumizi.. Vinginevyo lazima bafsi ikusute....Assume hukuwa unachepuka ofcn.
Ulivua pete, say ukiwa unataka kunawa mikono baada ya kazi flani. Kwa bahati mbaya ukasau kuivaa tena. Cleaner mmoja ameipitia akasepa nayo.
Unashindwa nini kumwambia hayo wife wako? Kwani ana tabia ua kukutembezea kichapo once in a while?