Lete pesa nikuachie yangu gtam tano ,pure gold laki nne tuuHabari za humu wanajamiiForums,
Tangu saa 10 jioni nikiwa njiani kuelekea nyumbani kutoka kazini baada ya kumaliza kazi za leo, nimejikuta ghafla sina pete ya ndoa na katika kumbukumbu zangu nikakumbuka kuwa niliivua nikiwa ofisini nikageuza gari kurudi kazini kwa ajili ya kwenda kuichukua.
Nimefika ofisini nimetafuta pete mpaka muda huu saa 2 usiku sijafanikiwa kuipata kwa bahati mbaya mke wangu bado sijamjulisha. Kwa bahati mbaya maduka muda huu Karikoo yamefungwa.
Naombeni ushauri kwani nahisi nikifika nyumbani mambo yanaweza yasiwe sawa kutokana na;
1. Nimezoea kurudi mapema nyumbani kufikia 12 jioni huwa tayari nimefika nyumbani na leo hii kuchelewa halafu sina pete.
2. Siku za hivi karibu mke wangu amekuwa akihisi natoka nje ya ndoa hivyo tumekuwa na kamvutano ka chinichini.
3. Narudi bila pete ya ndoa
Iyo ni mada yako mpya kabisaHivi pete ndio inashikilia kikojoleo ili mtu asichepuke?
Sina hadhi ya kupendwa naww?!Nikupendee nini sasa apo
Me sipendagi miwatu mibabeSina hadhi ya kupendwa naww?!
Hebu ichangieIyo ni mada yako mpya kabisa
HapanaHivi pete ndio inashikilia kikojoleo ili mtu asichepuke?
Hahahaha bipolar. Povuuu. Ukageuza gari eti. Sasa kama sio issue si ungesema nkarudi job. wtfMshauri Kwa busara...unadhan kuwa na gari ni ishuu?kama huna ushauri tulia wenye busara zao watamshauri
Sawa...asanteMe sipendagi miwatu mibabe
'Ukageuza gali.' Ebu nambie gali ya aina gani. Maana ndolilikua lengo. Ina CC ngapi, model gani
jf kila mtu anataka "ajulikane" kuwa anamiliki "gali"It sounds awkward and disgusting. I wish I was IGP![]()
![]()
![]()
jf kila mtu anataka "ajulikane" kuwa anamiliki "gali"
Nita concentrate kwenye vitu vingine ila si peteMimi mume wangu akirudi nampokea mimi, chumbani naenda nae mimi, nguo za haraka navua mimi kama koti, kuna vitu nitagundua tu kwa haraka kwa kua ntakua nae bzy anaporudi, kama sitagundua pete kwa muda huo kesho anapoenda kazini nitajua tu hana.
Something went wrongHahahaha bipolar. Povuuu. Ukageuza gari eti. Sasa kama sio issue si ungesema nkarudi job. wtf
Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
Mkuu sasa hivi huitaji kuvuaYaani we huna defence yoyote uliivua ili iweje kama sio nia mbaya? Nani kakuambiaga kuwa inavuliwa ukiwa kazini? MI SIKUSHAURI KITU WE NENDA TU NYUMBANI MKEO AKATHIBITISHE KUWA UMEAMUA KUINYEA NDOA YENU KWA AJILI YA VIMADA VYA OFISINI KWENU.
mkuu kwani cheti cha ndoa huna??
Pete ina vunja ndoa au???
mbona mnakua watumwa wa akili
apo utakuta ni mtu mzima 50s unawaza sana kupoteza Pete
Ndio hapo sasa namshangaa jamaa anambinu za zamaniMkuu sasa hivi huitaji kuvua
Pete ili upate kimada,mpunga wako tu unatosha!