Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,371
Unajua lip
Unanipenda
Unajua lip
mkuu kwani cheti cha ndoa huna??Habari za humu wanajamiiForums,
Tangu saa 10 jioni nikiwa njiani kuelekea nyumbani kutoka kazini baada ya kumaliza kazi za leo, nimejikuta ghafla sina pete ya ndoa na katika kumbukumbu zangu nikakumbuka kuwa niliivua nikiwa ofisini nikageuza gari kurudi kazini kwa ajili ya kwenda kuichukua.
Nimefika ofisini nimetafuta pete mpaka muda huu saa 2 usiku sijafanikiwa kuipata kwa bahati mbaya mke wangu bado sijamjulisha. Kwa bahati mbaya maduka muda huu Karikoo yamefungwa.
Naombeni ushauri kwani nahisi nikifika nyumbani mambo yanaweza yasiwe sawa kutokana na;
1. Nimezoea kurudi mapema nyumbani kufikia 12 jioni huwa tayari nimefika nyumbani na leo hii kuchelewa halafu sina pete.
2. Siku za hivi karibu mke wangu amekuwa akihisi natoka nje ya ndoa hivyo tumekuwa na kamvutano ka chinichini.
3. Narudi bila pete ya ndoa
Wewe mwanaume unamuona kabisa si mwaminifu, leo hii arudi nyumbani pete hana na akuambie sababu ni alivua ili aioshe, tangu amekuoa leo ndio pete imechafuka?? Ni rahisi kuelewa pale tu mtu una imani nae.. Utamu wa ngoma huwez kuuelewa had uingie ucheze
'Akageuza gari' sio gali'Ukageuza gali.' Ebu nambie gali ya aina gani. Maana ndolilikua lengo. Ina CC ngapi, model gani
Halafu sio lazima mtu aongee kitu kama haelewi yaliyomo ndani... Ni kuwaachia tu wenye kujuaWalioolewa na kuoa wataelewa...
Umeniamulia chiz wewe.... Me nimeongelea alichoongea mleta mada. HeeeeeWako ndio haaminiki mpnz
Unaongea la moyoni ujue...nmekuelewa sana leo bahati mbaya nipo mbali ningekuomba hata mateUmeniamulia chiz wewe.... Me nimeongelea alichoongea mleta mada. Heeeee
Ha ha ha.... Nikupende mtu mbabe ivo me si ntakutwanga mchi ukiwa usingizini tu nikafie jelaUnanipenda
Usinitie dhambi mie..... Kipind cha kwaresma kinaanzaUnaongea la moyoni ujue...nmekuelewa sana leo bahati mbaya nipo mbali ningekuomba hata mate
So nisubiri mpk kwaresma iishe?!Usinitie dhambi mie..... Kipind cha kwaresma kinaanza
Hunipendi?!Ha ha ha.... Nikupende mtu mbabe ivo me si ntakutwanga mchi ukiwa usingizini tu nikafie jela
Hayo maneno kamwambie mkeo atakuelewaHabari za humu wanajamiiForums,
Tangu saa 10 jioni nikiwa njiani kuelekea nyumbani kutoka kazini baada ya kumaliza kazi za leo, nimejikuta ghafla sina pete ya ndoa na katika kumbukumbu zangu nikakumbuka kuwa niliivua nikiwa ofisini nikageuza gari kurudi kazini kwa ajili ya kwenda kuichukua.
Nimefika ofisini nimetafuta pete mpaka muda huu saa 2 usiku sijafanikiwa kuipata kwa bahati mbaya mke wangu bado sijamjulisha. Kwa bahati mbaya maduka muda huu Karikoo yamefungwa.
Naombeni ushauri kwani nahisi nikifika nyumbani mambo yanaweza yasiwe sawa kutokana na;
1. Nimezoea kurudi mapema nyumbani kufikia 12 jioni huwa tayari nimefika nyumbani na leo hii kuchelewa halafu sina pete.
2. Siku za hivi karibu mke wangu amekuwa akihisi natoka nje ya ndoa hivyo tumekuwa na kamvutano ka chinichini.
3. Narudi bila pete ya ndoa
Uzuri sitagundua kama hana hiyo pete kidoleni coz sitamkagua vidoleWewe mwanaume unamuona kabisa si mwaminifu, leo hii arudi nyumbani pete hana na akuambie sababu ni alivua ili aioshe, tangu amekuoa leo ndio pete imechafuka?? Ni rahisi kuelewa pale tu mtu una imani nae.. Utamu wa ngoma huwez kuuelewa had uingie ucheze
Kwangu kwaresma hua haiishiSo nisubiri mpk kwaresma iishe?!
Nikupendee nini sasa apoHunipendi?!
"gali" ndiyo nini?? Acha ujinga ww'Ukageuza gali.' Ebu nambie gali ya aina gani. Maana ndolilikua lengo. Ina CC ngapi, model gani
Mimi mume wangu akirudi nampokea mimi, chumbani naenda nae mimi, nguo za haraka navua mimi kama koti, kuna vitu nitagundua tu kwa haraka kwa kua ntakua nae bzy anaporudi, kama sitagundua pete kwa muda huo kesho anapoenda kazini nitajua tu hana.Uzuri sitagundua kama hana hiyo pete kidoleni coz sitamkagua vidole
Labda nione dalili nyingine
Kwa hiyo wewe ukiona ana pete kidoleni maana yake ni mwaminifu?
Hakuna kitu kinachotambulisha mtu ni mwaminifu zaid ya tabia, ila kuvaa pete yako ni seemu ya heshima kwako na kwake piaUzuri sitagundua kama hana hiyo pete kidoleni coz sitamkagua vidole
Labda nione dalili nyingine
Kwa hiyo wewe ukiona ana pete kidoleni maana yake ni mwaminifu?
Mimi mume wangu akirudi nampokea mimi, chumbani naenda nae mimi, nguo za haraka navua mimi kama koti, kuna vitu nitagundua tu kwa haraka kwa kua ntakua nae bzy anaporudi, kama sitagundua pete kwa muda huo kesho anapoenda kazini nitajua tu hana.