La mujar
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,586
- 1,793
Sijawai hata siku mojaTatizo ww umeshafumania sn
Sijawai hata siku mojaTatizo ww umeshafumania sn
Kidole kinaweza kuwasha wakati wowote ukiwa popote. Yani watu mnashindwa kuaminiana wenyewe kwa wenyewe mnaanza kuweka uaminifu wenu kwenye chuma?Inakuwashaga ukiwa ofisin tu au na nyumban pia?maana usijarib kutafuta sababu
Kwendraaaaaa.... Ubabe uo labda uwe unaongea tu apa ila mfanyie uoneMm nmeoa kabla ww hujavunja ungu
Sasa ukiambiwa pete imepotea kazini kwann iwe tatizo km unamwamini mumeo?...Wewe unaniuz aisee.. Ungefanyaje kwa mfano. Unapiga au! Unajifanya mbabe unadhani wanawake wanafanana wote?
Noo my dia, ukiolewa utaniambia yatakapokukutaHuo sasa utumwa
Ubabe haukusaidii sana unajiaribia....Wanawake mkilegezewa kamba mnasahau mipaka yenu
Unajua nini reina.... Olewa kwnza then utayaelewa hayaKidole kinaweza kuwasha wakati wowote ukiwa popote. Yani watu mnashindwa kuaminiana wenyewe kwa wenyewe mnaanza kuweka uaminifu wenu kwenye chuma?
Hakuna anaeshindwa kuelewa ila sio ubabe sasaSasa ukiambiwa pete imepotea kazini kwann iwe tatizo km unamwamini mumeo?...
Unapigwa na mkeo au?!..kwan pete ikipotea kuna tatizo gani...si unampa taarifa tu,maana hauhitaji kumwrleza story ndefu pete imepotea basi hamna la zaidi
Kwni tunaelewa mangap?Sasa ukiambiwa pete imepotea kazini kwann iwe tatizo km unamwamini mumeo?...
Mumeo hajawahi kukupiga hata kofi?!Kwni tunaelewa mangap?
Mume wangu anaijua dhamani yangu, anipige kwa nini!Mumeo hajawahi kukupiga hata kofi?!
Una mdomo sn ww...yani hiyo pete angekuwa kapoteza mumeo ungeongea mpk chu.pi ichanikeMume wangu anaijua dhamani yangu, anipige kwa nini!