Nimepoteza Pete ya ndoa, ushauri wa haraka

Nimepoteza Pete ya ndoa, ushauri wa haraka

Acha ukauzu babaangu, yaan aje aniambie pete imepotea kirahisi rahisi hivyo yaan cta muelewa kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Kwani unadhani alikuea na mwanamke ndio akapoteza?!cku hz unavaa pete na gest unaingia na mwanamke hamna anayejali


Mwanaume hutakiwi kujielezea sana kwny mambo hayo,mwanamke atakuzidi maneno tu hapo.


Lazima uwe mbabe
 
Ahaaa kuna mtu alitupa sory akasema ndoa ngumu.

Yeye akitoka tu kwake pete uweka mfukoni.

Siku moja kaenda chooni kamaliza yake ile anavaa pete ikadumbukia

vip mleta uzi au na yako imedumbukia chooni wakati ule ulipoenda?
 
Lazima ulinywe. Kuwa mkweli tu, ulipiga nje, ila mdanganye kuwa ulivaa Kiroba kwa Amani ya Jerusalemu hata Kama hukuvaa.
 
Kwani unadhani alikuea na mwanamke ndio akapoteza?!cku hz unavaa pete na gest unaingia na mwanamke hamna anayejali


Mwanaume hutakiwi kujielezea sana kwny mambo hayo,mwanamke atakuzidi maneno tu hapo.


Lazima uwe mbabe
sasa ukiwa mbabe, ndo ntajua umenisaliti. Haiwezekani pete ipotee kirahis hivyo kuna mjanja tu, atakua kakuvua yaan umechepuka.
 
sasa ukiwa mbabe, ndo ntajua umenisaliti. Haiwezekani pete ipotee kirahis hivyo kuna mjanja tu, atakua kakuvua yaan umechepuka.
Sasa nkikwambia pete nlivua kazini ikapotea unataka maelezo gani zaidi?!


Mpk nije na affidavit ndio uelewe?

Mumeo huwa unamuhoji sn maswali nae katulia tu?!
 
Pole aisee Pete nyingi za ndoa hupotea kimiujiza na imetokea kwa wengi
Ila na wewe kwanini uliivua, ua wife atakuwa correct wanaume mkiwa na michepuko huwa mnaonekana kabisa.
 
Kabinti ka field kamekuja ukataka kukadangaya hujaoa ili ukagegede...

Tunawakataza kuoa Kwa fashion!!


Sikupi ushauri
 
Mpigie simu mchepuko uliyekuwa naye atakupatia. Tumia lugha ya kumfurahisha.
Pete si koti kwamba joto limezidi uvue. Usiendelee kusumbua wanaume humu
 
Wakuu Nimefika nyumbani bado hajagundua kitu chochote ingawa nimemwambia najisikia vibaya....kichwa kinaumwa nimejilaza kitandani......bado nafikilia kumwambia ukweli
 
Habari za humu wanajamiiForums,

Tangu saa 10 jioni nikiwa njiani kuelekea nyumbani kutoka kazini baada ya kumaliza kazi za leo, nimejikuta ghafla sina pete ya ndoa na katika kumbukumbu zangu nikakumbuka kuwa niliivua nikiwa ofisini nikageuza gari kurudi kazini kwa ajili ya kwenda kuichukua.

Nimefika ofisini nimetafuta pete mpaka muda huu saa 2 usiku sijafanikiwa kuipata kwa bahati mbaya mke wangu bado sijamjulisha. Kwa bahati mbaya maduka muda huu Karikoo yamefungwa.

Naombeni ushauri kwani nahisi nikifika nyumbani mambo yanaweza yasiwe sawa kutokana na;

1. Nimezoea kurudi mapema nyumbani kufikia 12 jioni huwa tayari nimefika nyumbani na leo hii kuchelewa halafu sina pete.

2. Siku za hivi karibu mke wangu amekuwa akihisi natoka nje ya ndoa hivyo tumekuwa na kamvutano ka chinichini.

3. Narudi bila pete ya ndoa
Uliivua ya nini?
 
Back
Top Bottom