Nimepoteza Pete ya ndoa, ushauri wa haraka

Kidole kinaweza kuwasha wakati wowote ukiwa popote. Yani watu mnashindwa kuaminiana wenyewe kwa wenyewe mnaanza kuweka uaminifu wenu kwenye chuma?
Reina thread ya huyo jamaa yenyewe inajieleza kwamba tayari mkewe alishahis kwamba anachepuka....hiyo inamaanisha uaminif ulishapungua sasa kama tangu wafunge ndoa hajawah kuwashwa na hiyo pete akiwa na mkewe lkn inamuwasha ofisin thats a red flag.....
 
Ona mnavyokuwa watumwa na machuma yenu haya uaminifu na machuma yenu havihusiani kabisa unaonaje hoja hii ya kwamba wewe ni mwaminifu lakini mchuma tu unakutesa maishani?
 
Reina thread ya huyo jamaa yenyewe inajieleza kwamba tayari mkewe alishahis kwamba anachepuka....hiyo inamaanisha uaminif ulishapungua sasa kama tangu wafunge ndoa hajawah kuwashwa na hiyo pete akiwa na mkewe lkn inamuwasha ofisin thats a red flag.....
Mimi hata sioni tatizo. Pete unaweza kuvua tu hata kama haikuwashi. Pete ni kitu foreign kwenye mwili kama vile hereni.

Sitegemei mtu akae na pete kidoleni milele. Kama mtajenga uaminifu wenu katika kuvaa au kutovaa pete hapo naona kuna tatizo
 
Mh!but what if uaminif hakuna tena???don expect mke wa huyo jamaa kumuelewa wakat alishamdoubt and yes ur right pete ni kitu foreign lkn tayar wana misunderstandings.Hapo mwanamke atapata uhakika kabisa jamaa anachepuka even if he is not na ni kwa sababu alishamtilia shaka lkn kama wangekuwa ktk line moja without mapishano mwanaume angemweleza sababu yeyote ile na mke angemuelewa
 
Pete kitu kidogo sana.. Muhimu ni kutimiziana mambo ya msingi ya ndoa...
 
Yaani we huna defence yoyote uliivua ili iweje kama sio nia mbaya? Nani kakuambiaga kuwa inavuliwa ukiwa kazini? MI SIKUSHAURI KITU WE NENDA TU NYUMBANI MKEO AKATHIBITISHE KUWA UMEAMUA KUINYEA NDOA YENU KWA AJILI YA VIMADA VYA OFISINI KWENU.
Kuna kazi zinahitaji kuvaa Gloves, labda ungemuulza anafanya kaz gan kwanza ndo umhukumu
 
Mh!but what if uaminif hakuna tena???don expect mke wa huyo jamaa kumuelewa wakat alishamdoubt and yes ur right pete ni kitu foreign lkn tayar wana misunderstandings.Hapo mwanamke atapata uhakika kabisa jamaa anachepuka even if he is not na ni kwa sababu alishamtilia shaka lkn kama wangekuwa ktk line moja without mapishano mwanaume angemweleza sababu yeyote ile na mke angemuelewa
Uaminifu kama haupo, haupo tu. Na pete haiwezi kuwa ndo uthibitisho kuwa jamaa anachepuka
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yapi yatanikuta embu nijuze kidogo
Wewe mwanaume unamuona kabisa si mwaminifu, leo hii arudi nyumbani pete hana na akuambie sababu ni alivua ili aioshe, tangu amekuoa leo ndio pete imechafuka?? Ni rahisi kuelewa pale tu mtu una imani nae.. Utamu wa ngoma huwez kuuelewa had uingie ucheze
 
Back
Top Bottom