Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,363
- 4,560
TANZIA: Professor Pereka wa SUA Vet katutoka
asante mkuukula parachichi la kutosha tu
mwanaume kamili lazimaMie naamini ngono siyo kwa ajili ya kila mtu hapa duniani, fanya mambo mengine tu mkuu.
Ila hapana siaminiHakuna wa kumgongea wala
Kama hujaoa unapaswa umshukuru Mungu kwani umeepushwa na mengi, ila kama umeoa, kiukweli kuchapiwa is unkwepekable, wanakuja.!!
Punguza mawazo mkuu, ukilala vizuri 8+ hours na kula virutubisho sahihi ndani ya week tu hali itakaa sawa. Stay home na hakikisha una mtoto mzuri karibu wa kuamsha hisia awe na tako laini tu.
Usipopata nyegex na hapo tena ujue unae Tezi dume bablai
jf bwanaMkuu hii inaonyesha umefeli sana kwenye relationship, na sio kuwa umekata tamaa bali ni uwoga na hofu vimekujaa.
Ushauri wangu hamia kwenye other types of ship, kama vile praiseship and worship hutojuta
Chunguza account yako Ina sh. Ngapi. Maana hamu na kujiamini kwamwanaume ndo nguvu za kiume Ila hivi vyote vipo kwenye noti. Kama account yako inasima haha hiyo hamu inatoka wapi?Hello MMU gurus,
Kwa kweli ni jambo la kushangaza sana kuona karibu miezi minne sasa sina hata ile feeling ya kupata sex. Nimetishwa na hii hali.
Masterbation sifanyi, porn siangalii wala sinaga hio tabia.
Naomba ushauri wako hapa mdau namna bora ya kurejesha hali kwenye mstari.
Asanteni sana