Nimepoteza hamu ya kufanya mapenzi. Ushauri wako tafadhali

Nimepoteza hamu ya kufanya mapenzi. Ushauri wako tafadhali

Mie naamini ngono siyo kwa ajili ya kila mtu hapa duniani, fanya mambo mengine tu mkuu.
 
asante Carly kwa ushauri
kwa kweli hata kama sijaoa bado inaninyima amani nini kinaendelea

asubuhi napoamka kwenda toilet, mashine huwa inasoma 4G+ lakn baada ya kukojoa inapoa.

naona safi lakin kwann nikose hamu ya papuchi?

nile vyakula gani?

nifanye mazoezi gani?

au..dah
Bro huna madeni yoyote au unajenga!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: amu
hata PUNYETO imekushinda.....fanya maamuzi magumu mkuu...
 
asante Carly kwa ushauri
kwa kweli hata kama sijaoa bado inaninyima amani nini kinaendelea

asubuhi napoamka kwenda toilet, mashine huwa inasoma 4G+ lakn baada ya kukojoa inapoa.

naona safi lakin kwann nikose hamu ya papuchi?

nile vyakula gani?

nifanye mazoezi gani?

au..dah
Kama unaamka mnara unasoma huna tatizo mkuu, ni msongo wa mawazo unakukabili, mimi nikiamka mnara hausomi kwa siku kadhaa hata gemu nafaiti kwa shida sana na unakuta napitia changamoto flani hivi nakua kwenye mawazo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu relax ni hali ya kawaida ,inaonekana kichwani mwako una mambo mengi sana unayoyawaza na pia kama uchumi wako umeyumba na unafikiria sana namna ya kumake money,basi lazima hali kama hii itakutokea,mimi nilikuwa mhanga sana wa hali hii,muda mwingi nilikuwa mtu wa kuwaza hili na lile hasa kuhusu maisha nliyokuwa napitia kipindi hicho ila baada ya muda hali ikaa fresh,ila jitahidi usioe mkuu chapa tembea zako
 
Back
Top Bottom