asmaa80
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 1,562
- 1,756
Mara nyngi malalamiko ya kibank eleza kwa maandishi na ubaki na copy yako na waeleze kwa maandishi na unapoaandika barua unatoa copy ya ticket na staement inayoonyesha jinsi pesa ilivyotoka na kuingia ambatanisha pelekea barua maji kwenye tawi ulofungulia account na barua nyingine makao makuu na huku ukfatilia kama unavyofanya, ukiona unapooza tishia kwenda kumuona meneja na hata kuenda mahakamani ukicheka na wizi mdogo utaliza vibaya mno.