Kiresua
JF-Expert Member
- May 13, 2009
- 1,184
- 259
Jamani nimepoteza fedha kwenye account yangu ya xxxxx, inaonekana kuna fedha zilitolewa kwa visa Ubungo 22....15 sh 200,000/-, zikatoka tena visa Ubungo 22... 2015 sh 200,000/= (jumla 400,000) zikarudi tena zote, halafu zikatoka tena on the same date.
Pia hazina ATM charges kama inavyotakiwa kuwa nimeandika barua xxxx kuhusu malalamiko yangu haya wananipa majibu ya assumptions. Hayaingii akilini, on the date ya transaction nilikuwa njiani kuelekea Dodoma kutolea Moro.!
Ikawa labda niliwahi kutoa fedha kwa visa lakini mwezi wa 3/5 nilitoa 100,000 NBC Ubungo na zilikuwa reflected kwenye statement, lakini pia statement huwa insema pia ni visa ya benk gani na tawi gani ila hii imesema tuu VISA UBUNGO.
Strange!
Kuna yeyote mwenye uelewa wa hatua stahiki za kuchukua ni play smart?
Thank you
UPDATES:
--------------------
I am grateful to report back to this forum that, yesterday my money were reversed back in full amount. Special thanks to Mulugwanza who provided an admirable efforts on the matter and spearheaded it to its own end.
Thanks to all who provided a clue and encourage me to pursue further.
Nilichojifunza ni kuwa our issues when reported to the branches are either not considered seriously or not reported to the appropriated department. They try to solve them in their capacity hata kama wanajua they are not capable.
So, any serious issue like mine HQ DSM is your saviour!!!