new generation
JF-Expert Member
- Mar 14, 2012
- 815
- 1,721
karibu kwetuNawamezea mate wananchi wa nchi zenye huduma bora za kibenki.
karibu kwetuNawamezea mate wananchi wa nchi zenye huduma bora za kibenki.
ndugu nipo kwenye banking kwa muda sasa, na moja kat ya shughuli nifanyazo ni fraud investigation, case kama hizi zipo benk takriban nying hapa tz na duniani kwa ujumla sema kwa vile hapa kwetu twaona ni mambo mapya, ila frauds in banks ni serious problem.....hasa kwenye ulimwengu wa sayansi na technologia. fraudsters wanatumia sayansi ya hali ya juu sana kufanikisha dhamira zao, so nijukumu la benk kuwa n robust systems zinazoweza punguza uwezakano wa majanga kama haya
CRDB ni majanga, imenitokea siku za karibuni kiasi karibu na chakwako, pesa inaonekana imelipwa kwa VISA Card, nimefuatilia mpaka nimechoka. Kilichobak ni kwenda kufunga account tu. CRDB ni kama hawajielewi, wakati mwingine mteja anaonekana kama mtu fulani mwenye shida wakati pesa ni za kwake. Siwaelewi kabisa hawa watu.
New Generation,
Hembu nijuze hivi kwanini tunaoibiwa ni sie maskini tuu?
Ila middle class na upper wao hawamo kwenye majanga haya au tuseme ndio wanakaa kimya au accounts zao zinalindwa zaidi.
Na kama hali ni hii,itafikia hatua sasa hizi Cards zitakuwa useless kwa ulimwengu wetu huu,maana follow up yenyewe ya bank ni dhaifu.Na inaonekana ni rahisi mno watu kuibiwa.Na pia inawezekana pia kwenye hali kama hii ikawa kisingizio ni wizi wa mitandao ila baadhi ya watu wakahusika kwa kisingizio cha mwavuli huo.
Hakuna bank salama tz
Mimi walilamba 3.5 million, tena ilionekana kwamba nime-draw mwenyewe physically kwa teller..! Damu yote ilishuka miguuni mwili ukapata ganzi. Nilihisi nimeibiwa kimtandao maana nilikuwa nimefanya online purchase kwa MasterCard. Nilivyowafuata kuangalia bank statement ili nijue nani katoa pesa tena dirishani nikaambiwa hakuna network njoo badae, kirahisi tu. Nikarudi, then kwa nyodo na dharau nikaambiwa umetoa mwenyewe, nikawaambia nionyesheni hiyo slip niliyosign, nikaelezwa nirudi reception watanisaidia, kuwaeleza jamaa mmoja akamfuata teller aliyetoa pesa zangu siku husika , wakaniambia eti alijichanganya, sorry sana. Wakatu huo macho yangu yalikuwa na rangi 7 tofauti, nilikuwa nakaribia kunywa damu ya mtu pale. Walirudisha haraka Sana!
Kwa hili na mimi nisaidieni ni bank gani ina unafuu ktk kuaminika?
Benki ndio sehemu salama,unachotakiwa uwe makini tu wewe kwa nafasi yako. Hupaswi kuzungumzia taarifa zako kwa namna yoyote ile kwa mtu hovyo.Usalama wa pesa yako benk unaanza na wewe kufanya upande wako
nadhan ilikua nbc
Jamani nimepoteza fedha kwenye account yangu ya CRDB, inaonekana kuna fedha zilitolewa kwa visa Ubungo 22....15 sh 200,000/-, zikatoka tena visa Ubungo 22... 2015 sh 200,000/= (jumla 400,000) zikarudi tena zote, halafu zikatoka tena on the same date.
Pia hazina ATM charges kama inavyotakiwa kuwa nimeandika barua CRDB kuhusu malalamiko yangu haya wananipa majibu ya assumptions. Hayaingii akilini, mimi niko Morogoro, on the date ya transaction nilikuwa Dodoma.!
Ikawa labda niliwahi kutoa fedha kwa visa lakini mwezi wa 3/5 nilitoa 100,000 NBC Ubungo na zilikuwa reflected kwenye statement, lakini pia statement huwa insema pia ni visa ya benk gani na tawi gani ila hii imesema tuu VISA UBUNGO.
Strange!
Kuna yeyote mwenye uelewa wa hatua stahiki za kuchukua ni play smart?
Thank you