Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,274
- 5,896
Nimepoteza antenna (dongle) ya wireless mouse yangu.
Bila hii dongle, siwezi kutumia mouse wala external keyboard yangu...
Kazi hazifanyiki kabisa, maana internal keyboard ya laptop baadhi ya button zinazingua.
Naweza nikapata replacement yake kweli? Ama 2.4 GHz frequency bands haziingiliani baina ya antenna moja na nyingine?
Nifanyeje wakuu... Nakosa madili kibao.