Button za laptop hazifanyi kazi.. kuna baadhi ya button katika laptop yangu ya acer hazifanyi kazi msaada wakuu na sensor ya mouse haifanyi kazi ..je tatizo ni nini mafundi na matechnician nijuzeni nifanyeje ..nimepeleka kwa baadhi ya mafundii wananipiga chenga tuuu