Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,995
- 25,338
...
....Next time wategeshee ----- na nyuki !!!
....Next time wategeshee ----- na nyuki !!!
..pole, wizi kama huo niliushuudis siku ya mkesha wa mwaka mpya maeneo ya Sinza Makaburini..
Walikuwa jamaa wawili kwenye pikipiki(boxer) wanatembea mwendo wa pole pembezoni mwa barabara mbele kuna dada anaongea na simu,basi wakasimama kama wanamsalimu hivi kufumba na kufumbua simu kwaaap..dada wacha awakimbize huku anapiga kelele lakini boxer ikawa nayo inajongea......
So, umakini wa ziada unahitajika na hasa nyakati za usiku..
Mkuu😛ole sana
pole kwa hilo mkuu
pole sana kiongozi wa familia. lengo lao ilikuwa laptop, watasikitika sana kuikosa. Mwizi hana akili kabisa anakula asivyopanda!!
salaam wakuu,
mda huu nikiwa napita maeneo ya kariakoo, karibu na makao makuu ya m-beting, nikiwa nmening'iniza begi langu begani.
Ghafla ikaja gari ndogo mbele yangu, kufumba na kufumbua wakanikwapua begi, nilijitahidi kutoa upinzani lakini bahati mbaya likakatika mikanda na wakafanikiwa kulichukua.
Mbaya zaidi watu walikuwa wanaona lakin hakuna msaada nilioupata.
Hvyo tuwe makini wakuu hasa nyakati za usiku tunapobeba vitu tukiwa tunatembea kwa miguu.
sidhani kma wananifahamu. Itakuwa ni timing tu
pole mkuu m niliwawekea mavi kabsa pale mwenge 2010 na walikmbizana mbaya kichochoro cha jeshni
Pole sana mkuu.Sio kwa watembea kwa miguu tu,siku hizi hata ukiwa na gari
makundi ya vijana wanajifanya wamelewa wanajazana barabarani ukifanya ustaarabu wa kusimama ili wapite
au ukashusha kioo kuongea nao,wanalianzisha kwamba umewamurika kwa taa kali na kukupora
kuna jamaa yangu wamemuumiza inabidi kuwa makini unapotembea usiku iwe kwa miguu au kwa gari.
pole sana mdau