Sema nn mwanangu, soon ntaanza kukukwepaMimi nimekupa kiroho safii!π
Achana na machokoraa bana!
Jmn kuna nn tenaHayo ni maoni yangu tu π kwamba unayo mengi au machache mnajua wewe na mwenzio
Mwenzangu nani tena huyoHayo ni maoni yangu tu π kwamba unayo mengi au machache mnajua wewe na mwenzio
ππ Sitaki message za What I ordered vs what I received. Ulichooda ndio hicho unapewaAnaderiviwa alichorikwestiiii bila ganzi ππ
Umeanza zile pigo za mm siwezi kutukanana na id fake! The wanna beβsππO wanaAh mm humu siwez kukariri za humu, tukimalizana hapa ndo imetoka hvy
Mimi nimekupa kiroho safii!π
Achana na machokoraa bana!
ππ Sitaki message za What I ordered vs what I received. Ulichooda ndio hicho unapewa
Kuwa makini bro, watu humu sio wazuriKumbe ni tapeli.
Inasikitisha sana
Nampandisha presha huyu anajifanya ana wivuJmn kuna nn tena
Naombeni dawa nilalae jamni naogopa hata kuweka kichwa mafua yananiua looohπͺMimi nalala sasa hivi, utanisimulia asubuhi π΄π΄
Kumbe hauko siriaz na mdogo wangu unauliza mwenzio nani?Mwenzangu nani tena huyo
Jiue tu hakuna jinsiπ«Cjui kwann nmeumia π
Ila weweπππHapo ni crush tu, siku akiolewa si utatolewa bandama
Mimi Piriton huwa inamaliza mamboNaombeni dawa nilalae jamni naogopa hata kuweka kichwa mafua yananiua looohπͺ
Hizo level sasa nishavuka, kipindi kile si nilikupa ukatanguliza mzaha ukaachwaπUwe unanitag bc mwanangu, seriously kwel nahitaji mtu
ππππIla weweπππ
Utakuwa wa 10 nahisi hainipunguzii damu baba wasalimieπ€Έπ½ββοΈSema nn mwanangu, soon ntaanza kukukwepa