Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,861
- 44,163
Eeh kumbe kuna mamboUnaamka asubuhi una maadui wapya usiowajua😂 kisa ulilike post ya crush wake utajutraa
Halafu wanajazana ujingaa mpaka unajiuliza hivi humu watu wanajitambua kweli au ndio watoto wengi🤭
Huyo wanamzushia naona, ila ni kama analiwa mingle hivii..!! 😹
Shida ni hao maex uduguu wote wamependa sehemu moja..!! 🏃♀️➡️🏃♀️➡️🏃♀️➡️🏃♀️➡️
My friend yule humuwezi, kubali tu kuwa side dudeNia yako ni nijinyonge kisa wivu wa kimapenzi au?
Dada muda wa maombi huu twende tukasali, huku si kuzuri😁😆😆😆
Ila jmn
Ah mm Sijawah kumtenga yeyote, labda huyo mpuuzi mwngn uliyemtag 😎
Bora nimpe mbwa alambelambe sio ww kmmk😎Dah ww dogo mbona una roho mbaya hvy, bc nipe ww 😂
Kwann unaona simuwezi?My friend yule humuwezi, kubali tu kuwa side dude
Tumswalie mtumwe 🙆Bora nimpe mbwa alambelambe sio ww kmmk😎
Bora umchukue kaka Monetary doctor hanaga kelele, hawa wengine utakula za uso dailyKwa haraka haraka nani ananifaa humu nianze kumshobokea?
Baba labla umesema ni chokoraa😂, The icebreaker mchambaji 😂😂
Jamani si urafiki tu, hebu mkubalieni!Hujui kuchagua marafiki sahihi kijana, rudi ujitafakari upya!
Kwani sina machoEh sasa pumbu zao ww umeonaje jaman
Nitakuja pm kukufariji mgonjwa na umbea wote 😹Unaona sasa hizi code
Hebu nizingatie basi mimi mgonjwa, si unajua mie mgonjwa lakini? Tena mgonjwa ile mgonjwa basi tu nacheka cheka hapa 😂
Wako wapi huko?Hamia upande wa pili, halafu humu mabint wabichi wapo kibao wanahaha huko.
Bora umchukue kaka Monetary doctor hanaga kelele, hawa wengine utakula za uso daily
Hujui ndugu zako wa zamani😂Eh nan huyo, mbona unanipa taarifa zangu nisizozijua 😂
Fresh tuuNilishakwambia ba mjengo ana bastola, utapigwa risasi ya katikati ya makalio, upate kilema cha maisha!
Unajibeep sio?Eh kumbe nakosea utaratibu 😂