Kadada kachawi sana hako π
H sio nyoka tuu, au mm ndo fungu la kukosa lenyewe tulilokuwa tunalisikia? πππ Hii ndio ile unatupa ndoano uvue samaki unanasa chura au nyoka
Sijui kinge mahi πΉI donβt know whatβs going on, and honestly
I donβt want to be involved
Iβd really appreciate it if you could leave me out of all this
Please respect my decision ππ
NB: Sina mafumbo na mtu naomba niacwe hii ni last reply ππ
Tutakachapa πNshakaona mda tu nakavutia kasi kaingie 18 zetu sku moja π
ππ Jamani basi mimi huwa tunapishana siku hizi simuoni au ni vile lile jukwaa lake pendwa sintembelei mara nyingiKwanza isije kuwa tunamsemea tofauti
Mie namuona kila nikiingia huku
Sis, umemsahau shemeji yako ee?
Ila ww mpuuzi una roho mbaya sana na mm π usione nasemwa kwa mazuri lazima upandwe na kisukariHujui kuchagua marafiki sahihi kijana, rudi ujitafakari upya!
kwani wewe si sahihi kuwa rafiki?Hujui kuchagua marafiki sahihi kijana, rudi ujitafakari upya!
Hahaha sio kweli nakutakia tu mema, huyu chokoraa hamtafika mahali..π
πΉπΉπΉ Wala hakuna code mambo ni yale yale ya kila siku, kubebeana mabwana na kila mmoja kutaka kuonekana yuko juu kuzidi mwenzie.. na urafiki wa kingese ndo chanzo kikuu πΉ
Wanasemana pm eti wengine wazee lakini vibibi πΉ
Usinihusishe huko kwenye kumpoteza, mm n mfano wa kuigwa, ww kama n maandazi bc n ww mwnyw πAmekosea njia, tutampoteza sisiπ
Nikupandishe? πΉAu wewe ndiyo yule dada wa dukuduku na hatujui π
Unapenda sana umbea na ugomvi!
Fala ww πHahaha sio kweli nakutakia tu mema, huyu chokoraa hamtafika mahali..π
Katika ubora wako onbaomba wewe hata w asingeweza kukuweka maana unatia aibu!Au bora unipe mm π₯±
Tatizo una mambo mengi πH sio nyoka tuu, au mm ndo fungu la kukosa lenyewe tulilokuwa tunalisikia? π
Astakafirilah mtumishi wa Mungu, mbona unanifananisha na watu wazito sana, hizi sifa siwezi kuzibeba, nitueni π
Labda wote tuwe na pesa nchi nzima πΉSasa kama wenye nchi wametunyima amani si walau tuwe nayo ya kwetu basi π
πππLong time ulienda wapi?
Eti inasemekana de Gunner anayasambaza mtaani kuwa mimi na wewe tunamilikiwa na yeye na kwamba ametuonea huruma sisi sio type yake π©
Kuna mambo mtaani. (Kwa sauti ya Diamond)
Dah ww dogo mbona una roho mbaya hvy, bc nipe ww πKatika ubora wako onbaomba wewe hata w asingeweza kukuweka maana unatia aibu!