Mambo yalipandiana, nikabananishwa vilivyo ila yote kheri, nimerudi tena baada ya miezi ya kutokua jamvini. Naomba mnijuze, nimepitwa na yapi humu?
Nimewamiss, karibuni tuendeleze zogo!
- Mko salama? Siwezi kuona kila kitu cha miezi miwili iliyopita ila naomba mniwekeeni hapa nyuzi zenye tija, story za chitchat, au replies ambazo ingependeza nikiziona.
- Pita pita za haraka nimeona humu kuna watu walikula ban za kutosha, ilikuwaje kuwaje. Seran na wenzako mje mnijuze, nini kilitokea ๐ ?
- Memba wapya na nyie mliojiongezea ID nyingine, mpite hapa msalimie na mtambulishe ID zenu mpya. Yale mambo ya mtu mmoja kukusemesha PM na ID 6 tofauti, acheni!
- Kuna watu wana changamoto, maisha, magonjwa, n.k tutawakumbuka kwenye sala. Vipi Joanah , how are you doing mama? nakuombea, japo kuna mahalli nimekuta umeniita ngariba wa kijiji ๐ !
- Wote mlionitag, asanteni sana ๐ notifications zenu nitasoma na kureply taratibu.
PS:
Simulizi ya siku saba za raha iliishia njiani kwa sababu raha zilinizidia - siwezi kuandikia haya mambo in real time, ukuni ukinikolea vizuri na nipo likizo basi muda wote nakua nautaka tu, nguvu za kuandika nakosa. Simulizi nitaiendeleza siku za usoni!
SI KWA UMUHIMU ILA NI MUHIMU
Wewe attention seeker usiye na adabu de Gunner njoo hapa.
View attachment 3666090
Sijawahi kuhusishwa na upuuzi humu jukwaani, ila naona unanitafuta maneno. Uliandika kwenye nyuzi zako za hovyo kwamba tunafahamiana. Njoo unielezee vizuri, unanifahamu kutokea wapi? na mimi na wewe tuna uhusiano gani nje ya JF?
View attachment 3666092
1. ๐ - Useme vizuri nilikukubali? au unataka nikuaibishe tu mbele ya hadhara?
View attachment 3666093
2. ๐ - Action gani? na kwa nani? ni narrative gani ulikua unajaribu kuitengeneza hapa?
View attachment 3666095
3. ๐ - Mwanakwetu Lamomy , unavyopenda kuyakuza sasa, alikujaza upepo siyo poa.
View attachment 3666097
4. ๐ - Toa comment useme hicho ulichoandika hapo ulimaanisha nini?
*******-----*********
Alamsiki!