Likemee kwa jina la Yesu nilifundishwa matabanio ya zongo long time kitambo ila siyakumbuki, bush ilikuwa tukienda wakituona. Watoto wa town tunacheza na sandals zongo ilikuwa salamu, tulifundiswa jinsi ya kulitoa ukiona hali ni mbaya
Mkuu hiyo zongo ni kitu gani?Likemee kwa jina la Yesu nilifundishwa matabanio ya zongo long time kitambo ila siyakumbuki, bush ilikuwa tukienda wakituona. Watoto wa town tunacheza na sandals zongo ilikuwa salamu, tulifundiswa jinsi ya kulitoa ukiona hali ni mbaya
Ni uchawi tumbo linajaa hewa na hupati choo wala hujambi
Hata mimi sijaelewaDah! Na kiwango changu chote cha ufahamu sijaweza kuelewa uzi huu unazungumzia nini. Naona wenzangu mmeelewa naomba mnisaidie kufafanua.
Hamna maelezo ya kitaalam kweli kuhusiana na hiyo hali?Ni uchawi tumbo linajaa hewa na hupati choo wala hujambi
Nilihisi utakuwa Arusha wana huo mchezo balaa,nliteseka sana kipindi cha nyuma nkaenda kupewa dawa na baba mmoja hivi wa Kiarusha,ndo nkapona
Kwakweli sijayafikira huko kwani ninakumbuka ukisha semewa matabano unaanza kucheuwa watalaamu wanajua mambo fresh
Nenda Tanga huko ndiyo kuna wataalamu wa hayo mambo watakupa maelezo uzuri kabisa.
'Kuemewa matabano' ndio tiba? Mimi ndio kwanza nimesikia leo hii habari, ila nadhan siyo uchawi ni tatizo tu la kitaalam probably ni flatulence, intestinal obstruction or whatever yenye symptoms za aina hyoKwakweli sijayafikira huko kwani ninakumbuka ukishaemewa matabano unaanza kucheuwa watalaamu wanajua mambo fresh
Ingependeza kama ningepata maelezo mazuri kutoka kwakoNenda Tanga huko ndiyo kuna wataalamu wa hayo mambo watakupa maelezo uzuri kabisa.
Amigo....Likemee kwa jina la Yesu nilifundishwa matabanio ya zongo long time kitambo ila siyakumbuki, bush ilikuwa tukienda wakituona. Watoto wa town tunacheza na sandals zongo ilikuwa salamu, tulifundiswa jinsi ya kulitoa ukiona hali ni mbaya
Ni uchawi tumbo linajaa hewa na hupati choo wala hujambi