Pole sana jaribu kuangalia uvaaji wako na muonekano, uwe smart siku nyingine usije valishwa tairi la motoWakuu poleni na majukumu. Nimeamini sio kila aliyepo jela anayo hatia. Ngoja niwape hii story, Sehemu flani hapa dar huwa kuna njia inapita makaburini na tumezoea kupita kila siku alafu maeneo hayo huwa kuna wahuni wanakulaga bangi, Jana mchana napita niende kwenye harakati kama kawaida kumbe kuna polisi wamelizunguka eneo hilo mimi sijui nashangaa wale wahuni wanakimbia nikawa sielewi nini kinaendelea mara nikakamatwa na wale masela waliokuwa wanakimbia baadhi wakashikwa wakaanza kupewa kipigo na mimi nikaunganishwa kmmmmk nimekula virugu,fimbo kipondo cha maana hadi wamepasua simu yangu kioo nawaeleza mimi sio hawanielewi. Tukapelekwa kituoni wakanimbia ili nitoke niwape 20k, muda huo nilikuwa na 10k tu wakapita nayo. Leo niameamka mwili unauma kinoma sijawahi kupigwa hivi toka nizaliwe. Sema polisi wetu wana njaa sana๐ฎ.
Kuna njia hapo mkuuKwa nini mnapita makaburini??
Makaburi wa wapi Mkuu?Wakuu poleni na majukumu. Nimeamini sio kila aliyepo jela anayo hatia. Ngoja niwape hii story, Sehemu flani hapa dar huwa kuna njia inapita makaburini na tumezoea kupita kila siku alafu maeneo hayo huwa kuna wahuni wanakulaga bangi, Jana mchana napita niende kwenye harakati kama kawaida kumbe kuna polisi wamelizunguka eneo hilo mimi sijui nashangaa wale wahuni wanakimbia nikawa sielewi nini kinaendelea mara nikakamatwa na wale masela waliokuwa wanakimbia baadhi wakashikwa wakaanza kupewa kipigo na mimi nikaunganishwa kmmmmk nimekula virugu,fimbo kipondo cha maana hadi wamepasua simu yangu kioo nawaeleza mimi sio hawanielewi. Tukapelekwa kituoni wakanimbia ili nitoke niwape 20k, muda huo nilikuwa na 10k tu wakapita nayo. Leo niameamka mwili unauma kinoma sijawahi kupigwa hivi toka nizaliwe. Sema polisi wetu wana njaa sana๐ฎ.
Nilikuwa smart mkuu ndicho kilichoniokoa nikaitwa na askari nitoke ila wale masela niliwaacha ndani kituoni.Pole sana jaribu kuangalia uvaaji wako na muonekano, uwe smart siku nyingine usije valishwa tairi la moto
๐๐Kila mtu atafikiwa kwa muda wke nimeamini hii nchi sio kudadekMO29 hiyooo imebaki saa chache ila kiukweli hakuna maandamano tena itakuwa siku tulivu mno kwa kuwa hamtaki kuambiwa ukweli ruksa kutoa povu.
- Faru01
- hakuna maandamano maandamano
- Replies: 9
- Forum: Jukwaa la Siasa
Likijana la mbogamboga kimekutana kipigo heavy kutoka kwa mbogamboga wezie mamaee๐๐๐
Kuna watu kwa mionekano yetu askari hawezi kukushushia kipigo from know where.Wakuu poleni na majukumu. Nimeamini sio kila aliyepo jela anayo hatia. Ngoja niwape hii story, Sehemu flani hapa dar huwa kuna njia inapita makaburini na tumezoea kupita kila siku alafu maeneo hayo huwa kuna wahuni wanakulaga bangi, Jana mchana napita niende kwenye harakati kama kawaida kumbe kuna polisi wamelizunguka eneo hilo mimi sijui nashangaa wale wahuni wanakimbia nikawa sielewi nini kinaendelea mara nikakamatwa na wale masela waliokuwa wanakimbia baadhi wakashikwa wakaanza kupewa kipigo na mimi nikaunganishwa kmmmmk nimekula virugu,fimbo kipondo cha maana hadi wamepasua simu yangu kioo nawaeleza mimi sio hawanielewi. Tukapelekwa kituoni wakanimbia ili nitoke niwape 20k, muda huo nilikuwa na 10k tu wakapita nayo. Leo niameamka mwili unauma kinoma sijawahi kupigwa hivi toka nizaliwe. Sema polisi wetu wana njaa sana๐ฎ.
mwaga moto mwingi kama dragonMO29 hiyooo imebaki saa chache ila kiukweli hakuna maandamano tena itakuwa siku tulivu mno kwa kuwa hamtaki kuambiwa ukweli ruksa kutoa povu.
- Faru01
- hakuna maandamano maandamano
- Replies: 9
- Forum: Jukwaa la Siasa
Likijana la mbogamboga kimekutana kipigo heavy kutoka kwa mbogamboga wezie mamaee๐๐๐
kimemramba ๐MO29 hiyooo imebaki saa chache ila kiukweli hakuna maandamano tena itakuwa siku tulivu mno kwa kuwa hamtaki kuambiwa ukweli ruksa kutoa povu.
- Faru01
- hakuna maandamano maandamano
- Replies: 9
- Forum: Jukwaa la Siasa
Likijana la mbogamboga kimekutana kipigo heavy kutoka kwa mbogamboga wezie mamaee๐๐๐
๐๐๐ Kipindi tunakoswa na risasi kimara alikua anatuona wajinga leo anasema hawa polisi wana njaamwaga moto mwingi kama dragon
Kazi ya laana ile huwa hawana utu wala huruma kama mbwa aliyepewa kazi ya kung'ata. Huwa hawaangalii ni nani na unafanya nini. Watu wengi sana wamepewa kesi au kufungwa bila hatia.Wakuu poleni na majukumu. Nimeamini sio kila aliyepo jela anayo hatia. Ngoja niwape hii story, Sehemu flani hapa dar huwa kuna njia inapita makaburini na tumezoea kupita kila siku alafu maeneo hayo huwa kuna wahuni wanakulaga bangi, Jana mchana napita niende kwenye harakati kama kawaida kumbe kuna polisi wamelizunguka eneo hilo mimi sijui nashangaa wale wahuni wanakimbia nikawa sielewi nini kinaendelea mara nikakamatwa na wale masela waliokuwa wanakimbia baadhi wakashikwa wakaanza kupewa kipigo na mimi nikaunganishwa kmmmmk nimekula virugu,fimbo kipondo cha maana hadi wamepasua simu yangu kioo nawaeleza mimi sio hawanielewi. Tukapelekwa kituoni wakanimbia ili nitoke niwape 20k, muda huo nilikuwa na 10k tu wakapita nayo. Leo niameamka mwili unauma kinoma sijawahi kupigwa hivi toka nizaliwe. Sema polisi wetu wana njaa sana๐ฎ.