Aisee hii ni kma kwel..uzur mm nimepitia kwenye hizo harakat za ujenzi.Huwezi kusahau laki saba kwenye mfuko wa suruali kama maisha yako njaa njaa kama wewe? Hapo utakuwa umeongeza sifuri sifuri mbele itakuwa elfu 7 ya supu baada ya kubanwa na mama ntilie ukaona ukimbilie nyumbani kusave nayo ukaona hola ndio unamsingizia dada wa watu kusave soo au kuja kuchangamsha genge humu.
Laki saba tena ya ujenzi usahau kwenye mfuko wa suruali kwa usawa huu wa magu njoo na bandiko jingine mkuu.
Sina mkeUkimpata leta mrejesho
Ila swali,,una mke?? Nani anapaswa kutoa nguo kumpa Dada?? Mama ndo wajibu wake kama hafui yeye anatakiwa akague nguo za mumewe ndo ampe Dada afue,,kuna siku atafua na chupi na vitu vya aibu zenu,
ikibidi iwe hivyoPole mkuu, unataka ndugu zake ndio wamlipie hizo laki 7?
Vv
Tulikubariana,na kiasi nilichokuwa namlipa alikiafikiMnawapa hela kidogo mno hao watoto.boresheni mishahara yao
Kwa kweli siyo watu wa kuamini ata kidogoHouse girl's huwa siwaamini kabisa now days
Naweza nikaungana na wewe laki saba sio mchezo usawa huu uisahau kiboyaboyaHuwezi kusahau laki saba kwenye mfuko wa suruali kama maisha yako njaa njaa kama wewe? Hapo utakuwa umeongeza sifuri sifuri mbele itakuwa elfu 7 ya supu baada ya kubanwa na mama ntilie ukaona ukimbilie nyumbani kusave nayo ukaona hola ndio unamsingizia dada wa watu kusave soo au kuja kuchangamsha genge humu.
Laki saba tena ya ujenzi usahau kwenye mfuko wa suruali kwa usawa huu wa magu njoo na bandiko jingine mkuu.
Sipo uko
Inategemeana kuisahau sehemu ganiNaweza nikaungana na wewe laki saba sio mchezo usawa huu uisahau kiboyaboya
Unapongeza ujambazi,utakuwa wakala wa shetani bila shakaAkufulie huyo mkeo. Nampongeza huyo beki tatu
Sina haja na mambo yakishetani,cha muhimu fedha yangu tu ipatikanekama anaakili anafanya busness then anakurudishia kianzio chako na penzi juu wee unaonaje
Unapongeza ujambazi,utakuwa wakala wa shetani bila shaka
Yawezekana Ameibiwa Lakin.... Ni Pesa Ilio Chini Ya Laki 7 Na Inamuuma. Labda Kaamua Kusema Laki 7 Hili Kupata Attention Lakini Ela Aliyoibiwa Ni Chin Ya Laki 7! Mtazamo Huu.Unampa pole ya bure tu huyu mkuu wewe kweli unaweza kusahau laki saba kwenye mfuko wa suruali kwa usawa huu wa magu?
Hiyo hela ata ukilala na mke usiku unashituka kuitazama kama ipo kweli.