Nimepigwa na house girl

Hela nyingi siwez Zisahau mahali,muda wote nakuwa nazo mpaka bafuni mi sio wale wanaume wanaovaaga taulo kiunoni,nikibadilisha suruali na pesa nahamishia ile nnayoivaa au kwavle sna pesa nying sana ndo maana sisahau
 
Anko angu alisahau burungutu kama wewe,aunt akampa HG afue...anko akaenda zake kazini..kufika kazini ndio akakumbuka kua jana aliacha hela kwenye suruali na hakumwambia aunt,alirudi speed home Kufika akakuta nguo zishafuliwa zimeanikwa HG anapika jikoni.

dada akaulizwa Hujakuta hela kwenye suruali ulizofua,dada akaruka futi 100 basi anko akarudi kazini kisha akampgia simu aunt kumueleza,aunt akaja muuliza dada,bado akaruka futi 100..Jioni usiku tuko dining tunakula tulipomaliza kula pamoja Anko akaamka akaenda kabatini tukamuona anachukua CHUPA YA CHAI AKAIFUNGUA ndani ya chupa ya chai akawa anatoa noti zake zilizoibiwa, Hamna aliejua amejuaje NOTI zipo mle ndani ya thermos na kipindi hicho hata haya maswala ya camera hatuyajui.

Usiku huo huo yule HG aliondolewa mle ndani akaenda lazwa guest maana aunt alihisi anko anaweza akamjeruhi,kesho yake asubuhi dada wa watu akarudishwa iringa kwao.
 
Back
Top Bottom