- Thread starter
- #141
Ndio hivyo sio mtu akipigwa ya kwamba yeye ni fara haya mambo sazingine yanatokea bila kutegemea,yaani inakuwa suprise fulani hivi.Kufa kufaana mzee Baba. Mie mwenyewe shapigwa huwa na mwachia Mungu.

wewe wasema,sina haja ya kuitaji attention kwa njia hiyoYawezekana Ameibiwa Lakin.... Ni Pesa Ilio Chini Ya Laki 7 Na Inamuuma. Labda Kaamua Kusema Laki 7 Hili Kupata Attention Lakini Ela Aliyoibiwa Ni Chin Ya Laki 7! Mtazamo Huu.
Sasa unashindwaje kujigulia nguo ka si uvivu nini. Acha muibiwe mpaka mkome ukute ni elfu kumi ndo yakuliza punguza ubosNdio hivyo sio mtu akipigwa ya kwamba yeye ni fara haya mambo sazingine yanatokea bila kutegemea,yaani inakuwa suprise fulani hivi.
Upo sawa kwa mtizamo wakoSasa unashindwaje kujigulia nguo ka si uvivu nini. Acha muibiwe mpaka mkome ukute ni elfu kumi ndo yakuliza punguza ubos
UkomeNipo kwenye machungu yasiyo na kifani baada ya kupigwa tsh 700,000 na house girl. Ilikuwa hivi jana nimechukua hiyo fedha toka ATM ili nikalipe mafundi wanaonifanyia kazi moja ya ujenzi.
Fedha zote zote hizo nikaziweka kwa mfuko wa nyuma ,basi jana jioni kufika nyumbani nikavua hiyo suruali nikaitundika kwenye mlango nikaingia kulala.
Kuamka asubuhi kwa mbwembwe zote nikakusanya nguo zote pamoja na ile suruali iliyokuwa na laki saba kwenye mfuko wa nyuma nikamkabidhi house girl kwa ajili ya kufua.
Basi nikaseme ngoja nipate supu hapa mtaani halafu nielekee site kukutana na mafundi,ile namaliza kupata supu ndipo nakumbuka fedha za kwenda kuwalipa mafundi nimezisahau kwenye suruali niliyovaa jana.
Yaani nilirudi nyumbani kwa kasi ya duma, nafika nakuta baadhi ya nguo zipo apo chini na zingine bado azijafanyiwa ufuaji,halafu mhusika(house girl) haonekani.
Duh nikajua tayari nimeshapigwa halafu kazima na simu,kumbe kabeba laki saba katokomea zake. Yaani nimechoka kwa kweli ,housegirl kanifanya mtaji, ila kitaelweka tu nitamtafuta kila kona kuanzia nchi kavu,angani adi majini , kwa sababu maumivu aliyoniachia ni zaidi ya mwanaume kupigwa kwenye testicle.
Uzuri baadhi ya ndugu zaka nawafahamu, usiombe upigwe laki saba kipindi hiki.
NimekomaUkome
Huwezi kusahau laki saba kwenye mfuko wa suruali kama maisha yako njaa njaa kama wewe? Hapo utakuwa umeongeza sifuri sifuri mbele itakuwa elfu 7 ya supu baada ya kubanwa na mama ntilie ukaona ukimbilie nyumbani kusave nayo ukaona hola ndio unamsingizia dada wa watu kusave soo au kuja kuchangamsha genge humu.
Laki saba tena ya ujenzi usahau kwenye mfuko wa suruali kwa usawa huu wa magu njoo na bandiko jingine mkuu.
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza,omba lisikukumbeYaan we ulikua ktk akili yangu.huyu bwana a nakuja kutupigia story za vijiwe vya kahawa...unasahauje 700000 mwenye mfuko wa suruali afu unalala na kuamka confotabo unaenda kunywa supu!!!afu hujamtaja wife hapo manake mnakaa wewe na beki 3 tu!!!kutakua na story ingine hajasema huyu bwana....ila katupiga kamba
Ahsante kwa ushahuriUsiwe na papara mana ndugu wanaweza kumsaidia kutokomea we tulia kana kwamba haijakuuma sana alaf umtafute taratibu yani kama unataka awe salama arudi tu kwao ili maisha yaendelee lakini moyoni lako moja.
Kwan nan atajua unamuwazia nn? Nan atagungua moyo wako?
Lakn ukipanic walah ndugu zake wanageuka kuwa maadui zako na wanamficha.
Sio lazima mfumo wa maisha yangu ufanane na wa mtu mwingine.Life syle yangu inaweza kuwa tofauti ya wengine unaowafikiria.Maisha ni safari ndefu yenye mapito mengi,ambayo mtu akianza kukusimulia unaweza kuelewa kwa nini anaishi kwa mfumo fulani wa maisha.Yaan we ulikua ktk akili yangu.huyu bwana a nakuja kutupigia story za vijiwe vya kahawa...unasahauje 700000 mwenye mfuko wa suruali afu unalala na kuamka confotabo unaenda kunywa supu!!!afu hujamtaja wife hapo manake mnakaa wewe na beki 3 tu!!!kutakua na story ingine hajasema huyu bwana....ila katupiga kamba
Uwezi amini,yani navaa suruali ile asubuhi yani ubongo unajua fedha zipo kwenye iyo suruali,kumbe suruali tofauti na ile nimeweka mshikoLaki saba uweke kwenye mfuko wa suruali halafu usahau!? Are you kidding!?
Ni sawaUsisahau kuleta mrejesho
Aisee pole sanaNipo kwenye machungu yasiyo na kifani baada ya kupigwa tsh 700,000 na house girl. Ilikuwa hivi jana nimechukua hiyo fedha toka ATM ili nikalipe mafundi wanaonifanyia kazi moja ya ujenzi.
Fedha zote zote hizo nikaziweka kwa mfuko wa nyuma ,basi jana jioni kufika nyumbani nikavua hiyo suruali nikaitundika kwenye mlango nikaingia kulala.
Kuamka asubuhi kwa mbwembwe zote nikakusanya nguo zote pamoja na ile suruali iliyokuwa na laki saba kwenye mfuko wa nyuma nikamkabidhi house girl kwa ajili ya kufua.
Basi nikaseme ngoja nipate supu hapa mtaani halafu nielekee site kukutana na mafundi,ile namaliza kupata supu ndipo nakumbuka fedha za kwenda kuwalipa mafundi nimezisahau kwenye suruali niliyovaa jana.
Yaani nilirudi nyumbani kwa kasi ya duma, nafika nakuta baadhi ya nguo zipo apo chini na zingine bado azijafanyiwa ufuaji,halafu mhusika(house girl) haonekani.
Duh nikajua tayari nimeshapigwa halafu kazima na simu,kumbe kabeba laki saba katokomea zake. Yaani nimechoka kwa kweli ,housegirl kanifanya mtaji, ila kitaelweka tu nitamtafuta kila kona kuanzia nchi kavu,angani adi majini , kwa sababu maumivu aliyoniachia ni zaidi ya mwanaume kupigwa kwenye testicle.
Uzuri baadhi ya ndugu zaka nawafahamu, usiombe upigwe laki saba kipindi hiki.
Uzembe wako unatuambia ili iweje? Huna mke mpaka leo wa kukagua nguo zako? MbaaafuuuNipo kwenye machungu yasiyo na kifani baada ya kupigwa tsh 700,000 na house girl. Ilikuwa hivi jana nimechukua hiyo fedha toka ATM ili nikalipe mafundi wanaonifanyia kazi moja ya ujenzi.