Nimepigwa na house girl

Nimepigwa na house girl

Dah ulivoandika umepigwa nikajua Umemshika Nyonyo akakuzabua kibao.... duuuuh kumbe kasepa na mtonyo.... usijali Mungu yupo ukimkamata we Muambaruthy tu maana hata pesa yenyewe itakua imeisha na hana uwezo wa kulipa.
 
Nipo kwenye machungu yasiyo na kifani baada ya kupigwa tsh 700,000 na house girl. Ilikuwa hivi jana nimechukua iyo fedha toka ATM ili nikalipe mafundi wanaonifanyia kazi moja ya ujenzi. Fedha zote zote hizo nikaziweka kwa mfuko wa nyuma ,basi jana jioni kufika nyumbani nikavua hiyo suruali nikaitundika kwenye suruali nakaingia kulala. Kuamka asubuhi kwa bwebwe zote nikakusanya nguo zote pamoja na ile suruali iliyokuwa na laki saba kwenye mfuko wa nyuma nikamkabidhi house girl kwa ajili ya kufua. Basi nikaseme ngoja nipate supu apa mtaani alafu nielekee site kukutana na mafundi,ile namaliza kupata supu ndipo nakumbuka fedha za kwenda kuwalipa mafundi nimezisahau kwenye suruali niliyovaa jana.
yaani nilirudi nyumbani kwa kasi ya duma, nafika nakuta baadhi ya nguo zipo apo chini na zingine bado azijafanyiwa ufuaji,alafu mhusika(house girl) haonekani. Duh nikajua tayari nimeshapigwa alafu kazima na simu,kumbe kabeba laki saba katokomea zake. Yaani nimechoka kwa kweli ,housegirl kanifanya mtaji, ila kitaelweka tu nitamtafuta kila kona kuanzia nchi kavu,angani adi majini , kwa sababu maumivu aliyoniachia ni zaidi ya mwanaume kupigwa kwenye testicle.Uzuri baadhi ya ndugu zaka nawafahamu, usiombe upigwe laki saba kipindi hiki.
Siyo mbaya kajilipa na nssf yake
 
Ulishawahi kumtongoza huyo House Girl.. Maisha yenu ya kawaida yapoje?
 
Pole, ila pia muda mwingine nyie waajiri mnasababisha hao watoto kuwavizia tu ili wapate chao wasepe maana hamuwalipi kwa muda na vimanyanyaso vya hapa na pale,wengine wanaakili timamu wanapoteza uaminifu na kujilipa
 
KWA MSHAHARA a 20,000 kajiongeza kwa kujilipa kama miaka mitatu
 
Unampa pole ya bure tu huyu mkuu wewe kweli unaweza kusahau laki saba kwenye mfuko wa suruali kwa usawa huu wa magu?

Hiyo hela ata ukilala na mke usiku unashituka kuitazama kama ipo kweli.
Hadi mke usimwamini?
Aisee kweli vyuma vimekaza
 
Nipo kwenye machungu yasiyo na kifani baada ya kupigwa tsh 700,000 na house girl. Ilikuwa hivi jana nimechukua iyo fedha toka ATM ili nikalipe mafundi wanaonifanyia kazi moja ya ujenzi. Fedha zote zote hizo nikaziweka kwa mfuko wa nyuma ,basi jana jioni kufika nyumbani nikavua hiyo suruali nikaitundika kwenye suruali nakaingia kulala. Kuamka asubuhi kwa bwebwe zote nikakusanya nguo zote pamoja na ile suruali iliyokuwa na laki saba kwenye mfuko wa nyuma nikamkabidhi house girl kwa ajili ya kufua. Basi nikaseme ngoja nipate supu apa mtaani alafu nielekee site kukutana na mafundi,ile namaliza kupata supu ndipo nakumbuka fedha za kwenda kuwalipa mafundi nimezisahau kwenye suruali niliyovaa jana.
yaani nilirudi nyumbani kwa kasi ya duma, nafika nakuta baadhi ya nguo zipo apo chini na zingine bado azijafanyiwa ufuaji,alafu mhusika(house girl) haonekani. Duh nikajua tayari nimeshapigwa alafu kazima na simu,kumbe kabeba laki saba katokomea zake. Yaani nimechoka kwa kweli ,housegirl kanifanya mtaji, ila kitaelweka tu nitamtafuta kila kona kuanzia nchi kavu,angani adi majini , kwa sababu maumivu aliyoniachia ni zaidi ya mwanaume kupigwa kwenye testicle.Uzuri baadhi ya ndugu zaka nawafahamu, usiombe upigwe laki saba kipindi hiki.
Ndiyo, mkome huna mke House girl anafua nguo zako, mkeo ulimuoa ama alikuoa?
 
Ndoto yake imetimia mkuu.

Alikuwa anasali daily zari hili limwangukie, sasa Mungu kajibu maombi yake.

Ushauri wangu: usimtafute kabisa. Huenda anaenda kufungua biashara yake somewhere.

Muombee tu asiziharibu hizo pesa.
 
Shenzi na itakuwa ulikuwa unamdhulumu mshahara wake. Me ningeondoka hadi na soksi zako
 
Back
Top Bottom